Nini kinaendelea katika jengo la LAPF usiku?

Status
Not open for further replies.
Mbona simpo tu
Floor ya 14 ndio kuna ukumbi

Wamezima taa kwa.sababu simema ndio itanoga.
Kuna kanisa limekodi huo ukumbi wa floor ya 14 kwaajili ya shughuli zake.

Wanaoenda.bila kujua wanachofata wanamatatizo yao
 
LAPF ya Dar au Dom mkuu
 
Brainwashing... Cinema bure,vinywaji na popcorn bure!wanaandaa mateka..naam watawapata vizuri kwa style hiyo..Lakini natahadharisha mamlaka zichunguze vizuri hii isije kuwa vyama vyenye siri wenyewe wanaviita vyama vya siri"secret societies "
 
LAPF ya wapi ? nchi gani, mji gani haueleweki mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…