DCONSCIOUS
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,269
- 473
Kama utakua unafwatilia bunge basi utakubariana na mimi kua. Kwa siku za hivi karibuni spika ameonyesha chuki za wazi dhidi ya mnyika. Hali inayo pelekea spika kushindwa kuzuia hisia zake nakujikuta anasahau kua yeye ni spika na kuanza kumshambulia Mnyika inpersonal.
Tukukatie usafiri gani mkuu!!!Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni
Huyu mama hatoacha Legacy yoyote
Mnyika akirudi hapa ubungo nahama nchi,huyu jamaa ni kichwa Nazi hajafanya lolote hapa jimboni ni kelele tu bungeni