Chapati Tatu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2024
- 410
- 866
Angalia kwa makiniAta sielewi
Ni nn kilikuwa kinafanyika hapo???Wakenya hao
Wakenya bhanaSielewi 😆😆
Hiyo ni manati??? AasalaaaleeKama masihara yule askari aliepigwa na hiyo manati alifariki. Hustlers wa kenya wamevurugwa kwelikweli
Huyo jamaa aliyeinama hapo ndo kashikilia??? DuhWakenya hao kwenye maandamano, Hio ni manati, polisi wanatupiwa bonge la jiwe waishi nalo
Aliyenitatiza ni huyo jamaa aliyeinama hapoKenya hiyo,wakati ule wa maandamano walitumia hiyo Manati kuwapiga mawe Polisi,
Ila hiyo manati inahitaji nguvu kuivuta,ni lazima uwe umekule Chapati Tatu Chai Maziwa
😂😂Eti waishinaloWakenya hao kwenye maandamano, Hio ni manati, polisi wanatupiwa bonge la jiwe waishi nalo
Mimi nimeona Bodaboda wameiziba namba kwa kitambaa.Namuona kwa mbaaali, bwa mdogo ana kipyenga mdomoni anasubiriwa aanzishe shambulizi