Nini kinaendelea Gaza

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
20,026
46,176
Mbona utu hakuna wala hofu mauaji yameendelea sana.

Mambo ni mengi sana watu wamekosa hofu ya Mungu ingekuwa dini zingefuatwa basi vita ingesimama.

Shetani amejinyanyua sana tumechoka kusikia kila siku watu wanakufa.

Vita isimamishwe basi watu kweli wanaangalia hiki kinachofanyika.

Usawa uko wapi nini maana ya uhai au utu?
 
Nyie nyamazeni hi ni mipango ya Allah alisha ahidi wa Israel watafanya hayo alafu atawaangamiza time inakaribia.

Kufa kila mtu atakufa tu akifa kwa kuliwa au kufa kwa maradhi au kwa kawaida tu kila mmoja ameandikiwa atakufa vipi.

Mimi nawaonea huruma walio baki wameshikilia misalaba, wakiamini wanaenda peponi sababu Yesu kachukua dhambia zao 😄
 
Aiseee,yaan dunia hii haieleweki
Haya yameisha pangwa yatatokea daima ukitaka kuona taifa linangamia fatilia story zao, kuanzia kina Firauni na wenzake.

Mfano mdogo sana nchi za Europe zamani zilikuwa zinamtetea Israel sa zinanza mkimbia, nyie bado hamjiulizi tu.

Huyo USA na yeye karibu itakula kwake.
 
Maji maji war with Kinjekitile Ngwale.
 
Haya yameisha pangwa yatatokea daima ukitaka kuona taifa linangamia fatilia story zao, kuanzia kina Firauni na wenzake.

Mfano mdogo sana nchi za Europe zamani zilikuwa zinamtetea Israel sa zinanza mkimbia, nyie bado hamjiulizi tu.

Huyo USA na yeye karibu itakula kwake.
Daa☹️
 
Nyie nyamazeni hi ni mipango ya Allah alisha ahidi wa Israel watafanya hayo alafu atawaangamiza time inakaribia.

Kufa kila mtu atakufa tu akifa kwa kuliwa au kufa kwa maradhi au kwa kawaida tu kila mmoja ameandikiwa atakufa vipi.

Mimi nawaonea huruma walio baki wameshikilia misalaba, wakiamini wanaenda peponi sababu Yesu kachukua dhambia zao 😄
Something isn't right.
Huyo Allah awaumbe hao waisrael na wapalestina, halafu apange kuwa wauwane na ndipo yeye aje awaangamize?
Doesn't make sense.
 
Mimi nawaonea huruma walio baki wameshikilia misalaba, wakiamini wanaenda peponi sababu Yesu kachukua dhambia zao
 
Something isn't right.
Huyo Allah awaumbe hao waisrael na wapalestina, halafu apange kuwa wauwane na ndipo yeye aje awaangamize?
Doesn't make sense.
Sa we jiulize kwanini aliweka pepo na motoni [Jahanamu.]

Mitihani lazima iwepo wenye kusubiri namitihani ndio wanao ingia pepo.

We unaye ingia pepo kwa kubebewa dhambi zako na Yesu kula life 😄
 
Nimeangalia post zako zote sijaona Uzi wako kuhusu kilichotokea October 7 ,sijaona popote ulipozungumzia wala kulaumu hamas kuhusu ubakaji ,unyang'au na utekaji wa vichanga siku hiyo.
Hivi unajua Kuna mateka zaidi 100 wa Israel bado wapo kwenye mahandaki ya Hamas?
Laumu hao magaidi kutumia raia Kama ngao bladfakin
 
Kwa sasa hamas hawana uwezo wa kupigana Israel angepoa kidogo
 
Nyie nyamazeni hi ni mipango ya Allah alisha ahidi wa Israel watafanya hayo alafu atawaangamiza time inakaribia.

Kufa kila mtu atakufa tu akifa kwa kuliwa au kufa kwa maradhi au kwa kawaida tu kila mmoja ameandikiwa atakufa vipi.

Mimi nawaonea huruma walio baki wameshikilia misalaba, wakiamini wanaenda peponi sababu Yesu kachukua dhambia zao 😄

allah keshawakimbia nyie watu, kawadanganya mlianzishe ila mlipoanza kupokea za uso kawakimbia....
 
😂😂😂😂😂😂 we jamaa ni chizi mno
 
allah keshawakimbia nyie watu, kawadanganya mlianzishe ila mlipoanza kupokea za uso kawakimbia....
Israel karudi anaomba peace chezea kipigo anacho pokea kwa Hamasi.

Israel hakuna alicho kifanya kwa Hamasi, yeye anakimbilia kufanya genocide, we kwa kuwa kichaa unadhani kuvunja majumba, kuvunja hospital, mashule na kuzuia chakula kisingie Gaza ndio vita 😄

Vita sikwenda uwa vitoto visio na hatia au wabawake na vizee wasio na hatia.

Kuivunja karibu Gaxa yote silaha ziko wapi alizo piga, so alisma ziko kwenye majumba, hakuweza onyesha hata risasi zaidi ya kutuonyesha bollywood movie pale Al shifa hospital 😄

Wanaume Hamasi wanaonyesha video namna wanavyo zisambaratisha silaha za Israel na jeshi Lake.

Matekwa wengine hao leo jitazamie dogo ona mashoga wenzako wanavo tekwa.

View: https://youtu.be/eGiea6RPeg8?si=MVfOihCfDbUJOPWw
 
Back
Top Bottom