Hii kama watajipanga vizuri, mazingira yao kiushindani yatakuwa mazuri sana. Maana mnununzi wa minara mojawapo ya target zake ni kupanua network ili iwafikie wengi na iwe bora na kupendwa na wengi.
Rejea vodacom na Helios Fowers Tanzania (HTT) japo wamefanya mtandao wao kuwa wa gharama ila network yao ipo vizuri sana kwa wateja wake.
Tatizo ni kubwa kwa mwezi sasa,nimenunua simu nyingine nikiamini kuwa simu ni mbovu,lakini Hadi hii mpya line ya Airtel inasoma kwa machare but Airtel ndo mtandao wangu pendwa
Tatizo ni kubwa kwa mwezi sasa,nimenunua simu nyingine nikiamini kuwa simu ni mbovu,lakini Hadi hii mpya line ya Airtel inasoma kwa machare but Airtel ndo mtandao wangu pendwa