Nini kinachomfanya mtu afaulu?

Babu sea

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
953
742
Je, kinachomfanya mtu afaulu? Nikua na akili au kufikiri?

Mimi naona ni kufikiri, maana kila mtu ana akili lakini uwezo wa fikra ni tofauti. Na hata kama ukisoma halafu huwezi kufikiri lazima utakua roboti.
 
Ukiwa na mipango iliyosimama na inatekelezeka kwa weledi na kujituma basi kufaulu huwa ndio tuzo
 
Back
Top Bottom