Nini Kinachoendelea IMF na World Bank?

Ukiwa masikini huwezi wakwepa.Ukiwagusa ni lzm uondolewe madarakani, madikteta wote wajanja huwa hawagusi maslai yao.
Kwahiyo ukiwapinga tayari we in dikteta siyo?
 

World Bank, IMF na WTO hao ni watoto wa baba mmoja na mama mmoja (wanaita utatu mtakatifu) hawatapishana kamwe.
 
IMF hawajasema kuwa shughuli za kiuchumi Tanzania zimesimama. Maisha yanaendelea Ila tu kasi ya kukua kwa uchumi imepungua.
Uchumi kudorora ni jambo linaloweza kutokea na kurekebishwa.

Hawa jamaa wa ccm wanachotaka ni kuendelea tu kutulisha matango pori miaka yote kwa kutuambia uchumi unakua kwa 7.8%! mara 7.9% huku hali ya maisha ya wananchi wengi yakiendea kudidimia.

Wao kusifiwa, kutukuzwa na kupongezwa hata kwenye vitu ambavyo ni wajibu wao kuvitekeleza; ndiyo jadi yao. Hawataki wakosolewe au kupingwa kwa jambo lolote lile! Kwani tatizo liko wapi uchumi kushuka na kuwa 4%? si suala la kujirekebisha tu na kuchukua hatua!!
 
Anaehujumu uchumi siyo IMF bali anaekataa kutoa takwimu za uchumi ili kila mtu ajue kinachoendelea!!Usifikiri sisi ni mazuzu kama wewe!!
IMF awawezi fanya makadirio ya uchumi wa nchi yoyote bila ya kutumia data za nchi husika

Wakipashana na serikari ni jinsi hesabu za trend zilivyopigwa inaweza kuwa awakufuata procedure za kimataifa kama

UN System of National Accounts
https://unstats.un.org/UNSD/nationalaccount/sna.asp

"IMF Government Finance Statistics Manual"
https://data.imf.org/?sk=a0867067-d23c-4ebc-ad23-d3b015045405

Special Data Dissemination Standard
https://www.imf.org/en/About/Factsheets/Sheets/2016/07/27/15/45/Standards-for-Data-Dissemination

Or any of their systems kwa ivyo na wao kwa kutumia data hizo hizo za serikari husika wanaweza fanya makadirio yao na kuja na majibu tofauti ya mwelekeo wa uchumi, lakini si eti watajianzia tu from nowhere na ndio sababu pengine ya kusema mfumo wetu wa kukusanya data ni questionable..
 
Najua wewe chizi hukwenda shule hiyo article huwezi kuielewa labda baba yako akurudishe shule
Wewe takataka ulieenda shule unatawalaiwa na takataka isiyojua hata kingereza na ina claim ina philosophy doctorate half professor

Matakataka ninyi
 
Wewe utakuwa ni mmoja wa wale mlioajiriwa kushangilia kichaa yule. Hali ya uchumi wetu hahitaji imf kutangaza bali sisi wenyewe tunaiona katika miaka mitatu ya uongozi huu wa kibabe. Uchumi haujemgwi kibabe bali unahitaji watu wenye akili timamu na wazalendo wa kweli
 
World Bank, IMF na WTO hao ni watoto wa baba mmoja na mama mmoja (wanaita utatu mtakatifu) hawatapishana kamwe.
Mwingine anakufadhili mwingine anakuppnda
 
Acha kutuona mazuzu,yaani miaka yote wafuate procedure za kimataifa halafu waje kushindwa awamu ya tano?!unatuona watanzania wa mwaka 1947 eeehhh?
 
Wewe takataka ulieenda shule unatawalaiwa na takataka isiyojua hata kingereza na ina claim ina philosophy doctorate half professor

Matakataka ninyi
Never argue with a fool like you
 
Wanazificha kwa sababu zimejaa madudu kuhusu mwelekeo wa uchumi. Mbona IMF hawakuwahi kuwa blocked kuchapisha ripoti zao katika awamu nne zilizopita?

Sitetei IMF lakin unaposema nichombo kinachodidimiza uchumi unajidanganya sana. Ingekuwa hivyo leo hii nchi za uchumi wa kati na juu zilizopo africa zisingefika hapo. IMF pia wanatoa takwim kama twaweza.. wali ask ni data tu. Nyie data mnaficha kwann
 
Acha kutuona mazuzu,yaani miaka yote wafuate procedure za kimataifa halafu waje kushindwa awamu ya tano?!unatuona watanzania wa mwaka 1947 eeehhh?
Kwa mfano serikari inachukua hela za serikari za mitaa hili jambo jipya, wewe unadhani hiyo income kama aitakiwi kuwepo to what extent it will distort the future trend of government collections or how it distort the business environment?

Tozo za halmashauri ni kodi ambazo aziendani na uzalishaji you cant use them as the basis of economic activities

Makusanyo ya TRA pekee ndio kiashiria halisi ya biashara na mwenendo wa uchumi.

Sasa ukichanganya kodi za TRA na Serikari za mitaa si tayari unaweza distort ukuaji wa uchumi (I am not saying that is source of dispute) hila hizo frameworks awazitoi bure wao wanajua maswala ya uchumi na accounts na wanachoweka washafikiria mbali sana.

Na moja ya lalamiko lao kwa sasa ni unreliability ya data ie ni trend za serikari azi add up kwa upande wao how so, hapo sasa labda tusibiri ripoti.
 
Muandishi nguli anayeandikia gazeti la raia mwema Joseph Mihangwa hua anapenda kuyaita (WB na IMF) Mashirika Mumiani.

Haya mashirika hayajawahi kuziacha salama nchi za Africa.
 
Siku zote IMF ni chombo kinachotumika dhidi ya mataifa ya dunia ya tatu yanayojaribu kujenga uchumi imara bila kuwa tegemezi.
Mnavotumia neno bila ya kuwa tegemezi huwa mnamaanisha nini?
 
Reactions: BAK
Mkiwa mnayajua haya waziwazi kwa nini mnaingia mikataba ya ushirikiano nao.Miaka yote wamekuwepo wakitoa hela na ripoti za nchi washirika kama kawaida.Kwa nino awamu hii tuu?
 
Reactions: BAK
IMF hawajasema kuwa shughuli za kiuchumi Tanzania zimesimama. Maisha yanaendelea Ila tu kasi ya kukua kwa uchumi imepungua.
Uchumi kudorora ni jambo linaloweza kutokea na kurekebishwa.
Wewe una akili sana kuliko wachumi wote wanaosema hali itazidi kuwa mbaya?Nani aliwatuma kupunguza mzunguko wa pesa na kuua biashara pamoja na kuwaona matajiri kama maadui?Saddists wakubwa nyie!
 
Hv Huo ubavu wa Hv huo ubavu wa kujitoa wanaupata WAP?hyo bajet ya nchi mpaka mbuzi dume achangie ndo mambo yanakwenda
 
Duh...?na wewe mkuu upo kwenye kundi la ma illiterate ,kumbe uchumi ni mzuri,halafu sasa mkopo wa nini? Mbona IMF hawaihujumu Kenya wanawahujumu nyie tu Tanzania? mna nini cha ziada?
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…