curie JF-Expert Member Joined Oct 25, 2020 Posts 1,058 Reaction score 2,450 Aug 28, 2025 #1 Zamani biniti akija geto anakuja na hotpot la ubwabwa ..Wa leo anakuja na njaa ya laki
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,139 Reaction score 88,808 Aug 28, 2025 #2 …na chaja
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 6,119 Reaction score 15,683 Aug 28, 2025 #3 Lakini analiwa,,,,, Zamani anaishia kwenye kiti, kitandani haji ng'oo
curie JF-Expert Member Joined Oct 25, 2020 Posts 1,058 Reaction score 2,450 Aug 28, 2025 Thread starter #4 kitalembwa said: Lakini analiwa,,,,, Zamani anaishia kwenye kiti, kitandani haji ng'oo Click to expand... Mpka unakuja kupata pupuchi borders kibao
kitalembwa said: Lakini analiwa,,,,, Zamani anaishia kwenye kiti, kitandani haji ng'oo Click to expand... Mpka unakuja kupata pupuchi borders kibao
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 46,046 Reaction score 126,630 Aug 28, 2025 #5 Tafuta pesa bwashee , ina onekana cycle yako unapata mademu mwenye njaa master🤔
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 27,402 Reaction score 54,845 Aug 28, 2025 #6 Daaah mi mpaka leo huyu anayekuja anakuja na poti wakuu just imagine
Kubwjing JF-Expert Member Joined Aug 2, 2025 Posts 1,787 Reaction score 2,665 Aug 28, 2025 #7 Ni huyo wa kwako, kaeni na matatizo yenu na Demu wako brooh🤣
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 5,398 Reaction score 6,909 Aug 28, 2025 #8 Wasasa ni maslahi mbele
Yohimbe bark JF-Expert Member Joined Sep 1, 2019 Posts 2,843 Reaction score 7,250 Aug 28, 2025 #9 Acha kudate maslay queen mkuu date beki 3 utaletewa chakula anachokula Faza house mkuu.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 57,921 Reaction score 133,953 Aug 28, 2025 #10 Daaah unanikumbusha kitambo sana. Enzi hizo mke wa mtu akaniletea pilau na minyama hotelini. Ogopa sana mwanamke mwenye gari
Daaah unanikumbusha kitambo sana. Enzi hizo mke wa mtu akaniletea pilau na minyama hotelini. Ogopa sana mwanamke mwenye gari
shibela JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 3,157 Reaction score 10,357 Aug 28, 2025 #11 U marioo unaanzaga hivihivi!
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 6,119 Reaction score 15,683 Aug 28, 2025 #12 curie said: Mpka unakuja kupata pupuchi borders kibao Click to expand... Siku hizi vitoto bwerere, vya alifu mbili vimejaa mtaani mileage ndogo ushindwe tu wewe ! Maisha yapo kasi sana
curie said: Mpka unakuja kupata pupuchi borders kibao Click to expand... Siku hizi vitoto bwerere, vya alifu mbili vimejaa mtaani mileage ndogo ushindwe tu wewe ! Maisha yapo kasi sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,751 Reaction score 184,601 Aug 29, 2025 #13 Hatari sana... Cc: Mahondaw
Mkenye Mkuu JF-Expert Member Joined Aug 20, 2023 Posts 218 Reaction score 402 Aug 29, 2025 #14 "eras come to an end"
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,974 Reaction score 35,341 Aug 30, 2025 #15 Kwamba huna chakula hadi uletewe?
Udochi JF-Expert Member Joined Jul 25, 2015 Posts 1,073 Reaction score 1,576 Aug 30, 2025 #16 Wahusika wanakuja hivi punde