Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,827
- 7,719
Rubbish, kawaulize wao!Nakumbuka magwiji hawa wa siasa wakiwa chama pendwa kipindi kileee walikuwa hawapatani kabisa. Sumaye alidiriki kusema chama kikimpitisha Lowassa atarudisha kadi yake. Je ni kwanini Lowassa alipohama Chama pendwa Sumaye alimfuata? Tena walisafiri kwa helicopter moja bampa to bampa kuusaka urais 2015 Monte nchini. Mwenye majibu anipe maana nashangaa sana siasa hizi na hadi Leo sijui nini kimetokea. Rejea rafu za Lowassa huko Hanang kwa Sumaye dhidi ya Marry Nagu kwenye uchaguzi wa NEC- Chama pendwa kipindi kileeeeee!!
Unaijua jinsia yangu?Hili wazo utakuwa umelitoa kwa mkeo
Sio mawazo ya mwanaume timamu
Retired acha hasiraRubbish, kawaulize wao!
Kesi ya 2015Nakumbuka magwiji hawa wa siasa wakiwa chama pendwa kipindi kileee walikuwa hawapatani kabisa. Sumaye alidiriki kusema chama kikimpitisha Lowassa atarudisha kadi yake. Je ni kwanini Lowassa alipohama Chama pendwa Sumaye alimfuata? Tena walisafiri kwa helicopter moja bampa to bampa kuusaka urais 2015 kote nchini. Mwenye majibu anipe maana nashangaa sana siasa hizi na hadi Leo sijui nini kimetokea. Rejea rafu za Lowassa huko Hanang kwa Sumaye dhidi ya Marry Nagu kwenye uchaguzi wa NEC- Chama pendwa kipindi kileeeeee!!
Hata kama dawa imekuingia, jenga hoja na si kejeli.Rubbish, kawaulize wao!
Mpaka sasa mimi huwa siamini kama Sumaye alihamia chadema ki kwelikweli nina imani alitumwa kwa special mission, naina amini huyu alikuja kuchunguza mikakati ya chadema na siri kuzipeleka ccm, hata ziara ya juzi alipo andamana na meya Jacob Sumaye wala hakuguswa ila Jacob aliishia mahabusu, hata lile shamba kunyang'anywa nina amnini ni zuga tu..Haya ni mawazo yangu wakuu.
Siwaamini wote wawiliMpaka sasa mimi huwa siamini kama Sumaye alihamia chadema ki kwelikweli nina imani alitumwa kwa special mission, naina amini huyu alikuja kuchunguza mikakati ya chadema na siri kuzipeleka ccm, hata ziara ya juzi alipo andamana na meya Jacob Sumaye wala hakuguswa ila Jacob aliishia mahabusu, hata lile shamba kunyang'anywa nina amnini ni zuga tu..Haya ni mawazo yangu wakuu.