Kwanza nianze kwa kusema RIP mfalme wa crank music Tanzania.
Leo ni siku ya huzuni kweli kweli wapenda bongofleva hasa ile ya zamani. Ni wazi ladha ya bongofleva ya enzi za akina CPwaa ilikuwa na ladha yake tofauti kabisa na sasa ambapo kuna copy and paste nyingi sana za nje ya nchi.
Turudi kwenye msingi wa hii thread, kama taarifa za kidaktari zilivyosema kwamba CPwaa kafariki kwa Pneumonia (Nimonia), hivyo hilo libaki kama lilivyo. Japo kuna wanaozusha kwamba ni deportivo la coruna lkn hizo ni habari zisizo na uthibitisho.
Lakini ukijaribu kufuatilia maisha yake ya miezi kadhaa iliyopita klutagundua kuna kitu hakiko sawa. Kwa miezi kadhaa CPwaa hakuwa active kwenye mitandao ya kijamii kama ilivyozoeleka. Mathalani kwenye mtandao wa instagram ambapo ndio alikuwa anaupenda sana, mara ya mwisho kupost ilikuwa November 1, ina maana mpaka mauti yanamfika leo ilikuwa imeshapita miezi 2 na nusu bila kupost chochote kitu ambacho sio kawaida yake toka ajiunge na mtandao huo mwaka 2013.
Hii inaonesha kuna kitu nyuma ya pazia ambacho kilikuwa hakiko sawa kwa mfalme huyu. Ni nini kilimsibu?
View attachment 1680030View attachment 1680031View attachment 1680033
COVID-19 chukua tahadhari husika.
Pneumonia ni medical condition ya hatari sana, ilimwua pia James Brown kabla hata Covid haijaingia duniani. C-Pwaa alikuwa na historia ya pneumonia tangu utotoni kadri ndugu zake wanavvyofahamu. Sasa nini kiko nyuma ya pazia? Kwa nini kila mara watu wanataka kuhusisha kifo chochote na Covid? Tumuache apumuzike kwa amani!Aliugua wiki2 akawa anatumia dawa huku anaendelea na shughuli zake ilipofika jumatano akazidiwa wakamkimbiza muhimbili kumbe mapafu yalishaathirika sana na Pneumonia
Kuna kitu hakiko sawa - Dr Bagonza.
Na mtu yeyote yule anayetudanganya Watanzania kwamba hakuna COVID-19 nchini huyo mtu ni mtu mbaya sana na ni MUUAJI.
Akili za wapinza ni kulazimisha kila kibaya kimesababishwa na rais John Pombe MagufuliPneumonia ni medical condition ya hatari sana, ilimwua pia James Brown kabla hata Covid haijaingia duniani. C-Pwaa alikuwa na historia ya pneumonia tangu utotoni kadri ndugu zake wanavvyofahamu. Sasa nini kiko nyuma ya pazia? Kwa nini kila mara watu wanataka kuhusisha kifo chochote na Covid? Tumuache apumuzike kwa amani!
Huko nje ya tz ugonjwa huo unaitwa covid 19Aliugua wiki2 akawa anatumia dawa huku anaendelea na shughuli zake ilipofika jumatano akazidiwa wakamkimbiza muhimbili kumbe mapafu yalishaathirika sana na Pneumonia