Governor Clinton
Member
- Sep 17, 2014
- 67
- 24
Nilifikiri high priority kwa sasa ni maanadamano aliyoyaongoza kuyaratibu, kumbe sivyo!!Mbowe as mwenyekiti wa chama na MB pia kiongozi wa kambi rasimi ya upinzani (KUB) anamajukumu mengi,so kusafiri ni moja ya taratibu zake za kazi
Majukumu ya chama yataendelezwa na walio chini yake
Mbowe as mwenyekiti wa chama na MB pia kiongozi wa kambi rasimi ya upinzani (KUB) anamajukumu mengi,so kusafiri ni moja ya taratibu zake za kazi
Majukumu ya chama yataendelezwa na walio chini yake
Nilifikiri high priority kwa sasa ni maanadamano aliyoyaongoza kuyaratibu, kumbe sivyo!!
haa haa mkuu kama jk anakula bata us.a wakati watanzania wamepigika vibaya, hakuna maisha bora wala nin!Mbowe anakula raha south na Mukya wajinga nendeni mkaandamane
Mbowe as mwenyekiti wa chama na MB pia kiongozi wa kambi rasimi ya upinzani (KUB) anamajukumu mengi,so kusafiri ni moja ya taratibu zake za kazi
Majukumu ya chama yataendelezwa na walio chini yake
Kwani hakuna makamu mwenyekiti? Mbona jk yuko marekani?
Maandamano yapo wapi kamanda tufahamishe, Mbowe ni msanii wa kisiasa anachotaka yeye ni mtaji wa kisiasa watu wapigwe risasi apate agenda mpya.Magazeti ya leo yameripoti kuwa M/kiti wa CHADEMA Taifa Bw. Mbowe amekimbilia South Afrika. Kama mnakumbuka kamanda huyu ametangaza maandamano na migomo nchi nzima na kweli wito wake umeitikiwa maandamano yapo sasa kinachomfanya akotole nini wakati alitakiwa kuwepo kuonesha uajibikaji na ushiriki wake katika hayo yote.
Nilifikiri high priority kwa sasa ni maanadamano aliyoyaongoza kuyaratibu, kumbe sivyo!!
Mkuu ritz, maandamano yamefanikiwa zaidi hapa jf, huko mitaani ni virungu tuuMaandamano yapo wapi kamanda tufahamishe, Mbowe ni msanii wa kisiasa anachotaka yeye ni mtaji wa kisiasa watu wapigwe risasi apate agenda mpya.
Magazeti ya leo yameripoti kuwa M/kiti wa CHADEMA Taifa Bw. Mbowe amekimbilia South Afrika. Kama mnakumbuka kamanda huyu ametangaza maandamano na migomo nchi nzima na kweli wito wake umeitikiwa maandamano yapo sasa kinachomfanya akotole nini wakati alitakiwa kuwepo kuonesha uajibikaji na ushiriki wake katika hayo yote.