Nini kimempata aliyewahi kuwa mbunge wa Kyelwa, Mutungirehi?

Hakuna sababu ya kutukanana juu ya Mtungirehi. Kama ameenda mahakamani, mwenye haki ataonekana.
 
Kajunju sawa mimi Mungese na ww ni musengerema, ondoa povu lako hapa, alieshinda kashinda kilichobaki ni kuijenga Kyerwa basi

una wivu wa kike yaani sijui kwa nn tunateswa na ukabila mtu yeyote atokae karagwe au kyerwa akiwa na pua ndefu basi ni mtutsi, acha wivu wewe ulivyo na kipua kifupi wewe nwenyewe nfupi kama stuli ndo maana unaona wivu dhidi ya mtungilehi, achana na izi type. una jingine la kuongea???
 
Kajunju sawa mimi Mungese na ww ni musengerema, ondoa povu lako hapa, alieshinda kashinda kilichobaki ni kuijenga Kyerwa basi

Kwanini unaleta ubaguzi wakipuuzi we keng..ukiwa ccm ni mtanzania lakini ukiwa upinzani ni mtusi..punguan wahed
 
Ni kweli alishinda uchaguzi huo, kwa kura zote katika vituo vya kupigia kura 338 aliimbuka mshindi. Na kwa sababu hiyo ccm walihaha kutaka kupoteza uhai wake ili kupoteza ushahidi, akaokolewa na maccta wa kikatoloki. Bila shaka atakuwa ameshawasilisha shauri lake mahakamani
 
Nimekutana nae, nimeongea nae nikaona karatasi zote za matokeo kwa kila kituo
 
Nimekutana nae, nimeongea nae nikaona karatasi zote za matokeo kwa kila kituo

itakuwa vyema ngoja tusubili mahakama naamin itamtendendea haki aweze kulejea tena bungeni.kyerwa kuna watu wababe sana wanatumia utajiri walionao kunyanyasa wanyongee
 
Kunatetesi kwa ameshinda uchaguzi huu kuptia chadema lakini kura zake wakamtangazi aliyekuwa mgombea wa ccm?na je hizo taarifa ni za kweli??najua humu kuna wenyeji hko.na kama ni kweli kwanini hajadai haki yake?kwa nilivyokuwa namsikia si mtu wa kukaa kimya kama endapo haki yake imeponyonywa.nasikia pia chadema ameshinda udiwan kata 13 na ccm 11 kati 23 Za wilaya hiyo mpya.iliyopo kagera

13+11=24
 
Kwa mujibu salum mwalimu dhuluma zote za chadema majimboni ( ambazo zikadiriwa kufikia 50 ) zinashughulikiwa na makao makuu .
 
Ukiona mtu anamtuhumu mwingine juu ya uraia wake ujue yeye ana asili hiyo kwa 90%.Km hujui utamaduni wa jamii fulani vizuri ktk uasili si rahisi kujua.
 
Kuna taarifa kuwa ndiye aliyeshinda ubunge kupitia chadema lakini kura zake alitangaziwa mgombea wa ccm..kwa navyosiskia walishinda pia udiwani kata13 na ccm11 .na je kama ni kweli kwanini amekaa kimya kiasi hiki??mwana jukwaa mwenye kujua zaid atujuzeee kuondoa dukuduku
mpuuzi wewe unatuletea habari za kufikirika. .....mbafu zako.
 
baada ya huzi huu nimefuatilia kilichijili kyerwa. mutungirehi alushinda mapema. ilivyofika muda wa kutangaza matokeo ded alikataa huku wakifanya mawasiliano toka kayanga na bk ili wapate maaskari wa kutosha. gari 7 zilitumika kutawanya watu huku wakilenga kumnyang'anya mutungirehi karatas za majumuhisho. mutungurehi alikimbia na makaratasi wake had kujificha kwa masista wa isingiro. mytungirehi docs zote anazo na mziki utakuwa mahakamani. kwa upuuz unaoendelea mutungirehi ametafutwa kwa hud na uvumba na kwa gharama yoyote ili anyanga'nywe yale makaratasi. tushukuru mungu kwa sasa yuko dar na chama kitamwejea wakili. ccm hao hao kama huyu buhare ndio washenzi wanaorudisha maendeleo ya karagwe na kyerwa. ukiwa mpinzani wewe utazushiwa mkimbizi au mwizi. huyu butahe kama origin yake ni karagwe basi ukifuatilia chimbuko lake ni rwanda, urundi au uganda. namalizia kwa kusema kuwa butahe ni MUNGESE

una kiswahili kibovu sana wewe utakua miongoni mwa wahamiaji haramu
 
Ukiona mtu anamtuhumu mwingine juu ya uraia wake ujue yeye ana asili hiyo kwa 90%.Km hujui utamaduni wa jamii fulani vizuri ktk uasili si rahisi kujua.[/QUOTE

Mbunge ni kiongozi wa ngazi ya juu ya Kitaifa. Mwaka 2000-2005, wana-Kyerwa na "Kitengo" walipitiwa, ndipo huyu Bwana akapata Ubunge, kosa ambalo haliwezi kurudiwa. Ninarudia, kosa hilo haliwezi KURUDIWA!

Huyu Bwana hana uzalendo. Ninarudia, Mtungirehi siyo MZALENDO na hawezi kuwa Mbunge wa KYERWA TENA!. Huwezi kutafuta Ubunge kwa ku-collude na watu wa asili yako na nje, hali wewe asili yako inajulikana wazi. Siasa anazoziendesha Mtungirehi ni tofauti sana na mategemeo ya walio wengi!

Wanajamvi, dhana hii haina itikadi ya chama chochote, bali UTAIFA! Hata UKAWA (maombi ya wengi) wangechukua nchi leo, bado MTUNGIREHI hawezi kuwa kiongozi tena Tanzania. Hata Kamanda MBOWE analijua vizuri hilo!

MBNA umeaandika upuuzz mtupu.nenda kwenye hoja ya msingi!!mtungi ni chaguo la wanakyerwa.usilete upuuz was vijiwen hum ndan
 
Back
Top Bottom