Meja Jenerali Isamuhyo JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 3,103 Reaction score 9,591 Oct 16, 2025 #1 Mbona kama nuru imepotea ghafla kwa Idris Sultan, Nini kimemsibu star huyu?
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 20,959 Reaction score 46,565 Oct 16, 2025 #2 Watu huugua Watu hupitia mikondo tofauttofaut ya maisha Watu huamua kujikondosha wenyewe Watu huamua kujibrand ktk muonekano mpya.
Watu huugua Watu hupitia mikondo tofauttofaut ya maisha Watu huamua kujikondosha wenyewe Watu huamua kujibrand ktk muonekano mpya.
Empty container for sale JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 2,382 Reaction score 1,956 Oct 16, 2025 #3 Endapo ukijua kilichomsibu utamsaidia ?.
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,857 Reaction score 89,745 Oct 16, 2025 #4 Jana nimekutana na habari ati kaibiwa bwana na Ommy Dimpoz Idris nae ni gay?
Chibike JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 4,897 Reaction score 7,525 Oct 16, 2025 #5 Empty Containers Tanzania said: Endapo ukijua kilichomsibu utamsaidia au itakusaidia nini ?. Click to expand... Mkuu naomba tuongee pm...Kuna thread yako Moja hivi ulitoa Somo zuri sana nlitaman nikuulize zaidi kuhusu hilo jambo namna ya kuliendea kwa uzuri
Empty Containers Tanzania said: Endapo ukijua kilichomsibu utamsaidia au itakusaidia nini ?. Click to expand... Mkuu naomba tuongee pm...Kuna thread yako Moja hivi ulitoa Somo zuri sana nlitaman nikuulize zaidi kuhusu hilo jambo namna ya kuliendea kwa uzuri
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 33,623 Reaction score 40,183 Oct 16, 2025 #6 Teko Modise said: Mbona kama nuru imepotea ghafla kwa Idris Sultan, Nini kimemsibu star huyu?View attachment 3489504View attachment 3489505 Click to expand... Wengine hatujawahi fika Dar es salaam... Ndio nani nae huyo huko Dar?! #NoReformsNoElection
Teko Modise said: Mbona kama nuru imepotea ghafla kwa Idris Sultan, Nini kimemsibu star huyu?View attachment 3489504View attachment 3489505 Click to expand... Wengine hatujawahi fika Dar es salaam... Ndio nani nae huyo huko Dar?! #NoReformsNoElection
Sales man JF-Expert Member Joined Aug 27, 2025 Posts 571 Reaction score 843 Oct 16, 2025 #7 Joanah said: Jana nimekutana na habari ati kaibiwa bwana na Ommy Dimpoz Idris nae ni gay? Click to expand... πππ huu sasa utani wa Ngumi mkuu
Joanah said: Jana nimekutana na habari ati kaibiwa bwana na Ommy Dimpoz Idris nae ni gay? Click to expand... πππ huu sasa utani wa Ngumi mkuu
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,080 Reaction score 165,194 Oct 16, 2025 #8 Joanah said: Jana nimekutana na habari ati kaibiwa bwana na Ommy Dimpoz Idris nae ni gay? Click to expand... π€£π€£π€£π€£π€£ bro
Joanah said: Jana nimekutana na habari ati kaibiwa bwana na Ommy Dimpoz Idris nae ni gay? Click to expand... π€£π€£π€£π€£π€£ bro
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,080 Reaction score 102,528 Oct 16, 2025 #9 Ndio nani huyo huko Daslam? Ni star wa nini?
ESCORT 1 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2015 Posts 1,501 Reaction score 3,342 Oct 16, 2025 #10 Laana ya kutafuna mapunga
Empty container for sale JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 2,382 Reaction score 1,956 Oct 16, 2025 #12 ESCORT 1 said: Laana ya kutafuna mapunga Click to expand... Kama kweli alichoma 500M kwa wanawake itamchukua miaka mingi kukaa sawa mzee wa Big brother .
ESCORT 1 said: Laana ya kutafuna mapunga Click to expand... Kama kweli alichoma 500M kwa wanawake itamchukua miaka mingi kukaa sawa mzee wa Big brother .
N Nikilewa mniache JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 19,278 Reaction score 51,866 Oct 16, 2025 #13 Maisha ni yake..., Wewe shughulika na yako
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 4,689 Reaction score 9,999 Oct 16, 2025 #14 Maisha haya yana mambo mengi, kuna time unapitia mapito mpaka unaona hivi kwann nilizaliwa? For whatever is happening to HIM, I wish hime Well π―
Maisha haya yana mambo mengi, kuna time unapitia mapito mpaka unaona hivi kwann nilizaliwa? For whatever is happening to HIM, I wish hime Well π―
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 19,300 Reaction score 39,992 Oct 16, 2025 #15 Yeye mwenyewe ndo mwenye jibu sahihi. Ukiondoa maradhi kuna sababu nyingine nyingi sana za mtu kukonda.
Yeye mwenyewe ndo mwenye jibu sahihi. Ukiondoa maradhi kuna sababu nyingine nyingi sana za mtu kukonda.
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,019 Reaction score 13,266 Oct 16, 2025 #16 Uyo ni binadamu ka binadamu wengine kuna kuumwa mawazo na mambo me gi
Pyaar JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 17,212 Reaction score 80,120 Oct 16, 2025 #17 Kuna upande wa pili wa maisha ya mtu anayopitia Ingawa usoni kajawa tabasamu. Tusipende sana kujudge mabadiliko ya muonekano wa mtu.
Kuna upande wa pili wa maisha ya mtu anayopitia Ingawa usoni kajawa tabasamu. Tusipende sana kujudge mabadiliko ya muonekano wa mtu.
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,857 Reaction score 89,745 Oct 16, 2025 #18 Evelyn Salt said: π€£π€£π€£π€£π€£ bro Click to expand... Braza ni kweli kwani? π
R r2ga JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 2,649 Reaction score 2,733 Oct 16, 2025 #19 Ni muda sijamsikia.
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,857 Reaction score 89,745 Oct 16, 2025 #20 Live or die said: πππ huu sasa utani wa Ngumi mkuu Click to expand... Ni swali ππ