Kuamkia leo taarifa zinasema watu karibia wanane wamejeruhiwa katika mlipuko wa bomu katika mghahawa mmoja jijini humo. Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi litakuwa bomu la nne mpaka sasa.
La kwanza lilikuwa lile la Orasti kanisani, jingine mkutano wa kufunga kampeini za udiwani wa Chadema, juzi sheikh alishambuliwa nymumbani kwake na hili la jana.
Kuna tetesi nyingi jijini Arusha, wako wanaosema kwa vile mji huo uko karibu na Nairobi na nchi ya Kenya kwa ujmla basi mashambulizi haya yanafanywa na Al shabab, wengine wanasema ni mgogoro unaoendelea katika dhehebu moja mjini hapo na wengine wanasema mashambulizi haya ni kazi ya kisiasa kuuchafua mji huu ionekane kwa wananchi walichagu upande ambao unapendelea vurugu au umeshindwa kuhakikisha usalama wa mji huo.
Vyovyote itakavyokuwa tunahitaji usalama wa mji huu kitovu cha utalii ambao unaliingizia taifa fedha nyingi za kitalii. Tuweke siasa na visingizio kando tutafute walipuaji wa mabomu katika mji huu.
Pia ni wakati wa Chadema kuweka kanda ya video hadharani ili kujua angalau kwa tukio lile ni nani alikuwa nyuma ya unyama ule.
Nakubumuka Lema amesema mara kadhaa bungeni "mlitaka kuniua" sijui huwa anamlenga nani na walitaka kumuua kwa nini. Lakini pia kuna madai ya muda mrefu ya kutaka iundwe tume huru ya kimahakama ili mambo yawe hadharani.
Tafakari!
Arusha palikuwa ni mahali pazuri pa kutembelea na kupata mapumziko;
Toka chadema waingie hapo kila siku ni vurugu;
Kwa kauli za watu wa chadema na matukano yao;
wenyewe ndio wahusika wakuu wa hiyo michafuko.

Usalama wa mji wa Arusha utapatikana baada ya Mhuni Lema kukoma kuwa mbunge wa jimbo hilo
Arusha palikuwa ni mahali pazuri pa kutembelea na kupata mapumziko;
Toka chadema waingie hapo kila siku ni vurugu;
Kwa kauli za watu wa chadema na matukano yao;
wenyewe ndio wahusika wakuu wa hiyo michafuko.
Kwahyo unataka nani aende huko?
CHADEMA kamwe hawawezi kuweka ule mkanda kwa vile wao ni sehemu ya wahusika wa tukio lile
Lema na Mbowe wanawajua walipuaji wa haya Mabomu kwa sababu wanayo hadi video yake lakini hawataki kuiweka hadharani.
Acha njaa wewe
kama hayo uyaandikayo ni ukweli basi mi nailaumu serikali na jeshi lake kwa kulijua tatizo na kushindwa kulizuia lisiendelee haiwezekani kikongwe wewe ujue chanzo halafu serikali isijue,
Dogo mie sinaga njaa;
Naweza kukulisha hata wewe na mkeo/michepuko yako yote na wanao;