Nini kimejificha nyuma ya milipuko ya mabomu ya Arusha?

Nini kimejificha nyuma ya milipuko ya mabomu ya Arusha?

ni upuuzi kuyahusisha haya matukio na chadema, vyombo vya usalama vifanye kazi yake basi hali itakuwa shwari
 
Nilishasema hapa siku chadema wakionyesha ule mkanda wao basi ntahama nchi bora nikaishi hata Somalia
 
Arusha palikuwa ni mahali pazuri pa kutembelea na kupata mapumziko;
Toka chadema waingie hapo kila siku ni vurugu;

Kwa kauli za watu wa chadema na matukano yao;
wenyewe ndio wahusika wakuu wa hiyo michafuko.

Ndugu yangu inawezekana unayoyasema yakawa kweli lakini hebu nenda mbali zaidi utufafanulie hayo mabomu yanaisadia vipi Chadema? Chadema wanasababisha hayo machafuko ili iweje? Kujiharibia au? Inahitaji mtu uwe na akili pungufu kuweza kuelewa unachotaka kukisema hapa.

Tiba
 
Nasikitika ndio naona habari hapa na kujaribu uliza watu wawili watatu,na kusikia kuwa kuna bomu limpigwa tena Arusha.Tena ktk sehemu crucial yenye club inayokutanisha watu wenye kumiliki uchumi,makazi ya mkuu wa mkoa,mahakama,usalama wa taifa,ikulu etc.Najiuliza si muda nilisikia km mzaha nikiwa usingizini kuwa kuna sheikh kapigwa bomu,kabla sijajifunza nasikia tena gymkhana....najisikia kuchoka sana.Najiuliza hivi hii nchi imekuwa na serikali na viongozi wajinga kiasi hichi?Yaani ktk TV majibu yao hayana umoja wa kitaifa,hayana kabisa fikra ni yaleyale tuu ya kipuuzi.Eti wananchi wawatambue wageni?ktk miji ya leo watu wanaishi wengi kila mahali ,wengine wanachoka wakirudi majumbani hawajui hata msiba wa jirani,bado serikali ya kifsadi imechukua hela zote.Watu wanafaya kazi km wanyama bado maisha hayaendi.Ni wapi watawatambua hawa magaidi wanaoishi ktk majumba mazuri yenye viwanda na kila kitu kinachowafanya wafanye hadi mazoezi ktk mahekalu.?
 
Naona sasa polisi waanze fikira upya mikakati yao,waanze kutumia akili na kujenga timu ya watu wenye fikra,wawe na watu wa akutoa matamko na maelezo wenye weledi,na wanaojua wanasema nini.Hii issue si nzuri sana.Sasa mbomu yamekuwa km kurushiana mpira tuu au kuchapana viboko.NInahofia muda si mrefu mabomu yanaweza chaguo la hata wahuni na watu wanaokomoana.Na itafikia mahali sidhani km Polisi wataweza tena linda amani ,na wataishia kuwapoteza hata wale wanaowalinda sasa.Nasikitika sana.Sijui ndio tunakaribia kuamshwa kuwa sasa wananchi tuanze chukua majukumu ya kulinda nchi kwa kasi na mujibu tofauti kabisa.How come haya yanatokea wakati hatuna majibu ya mengine mengi.Nasikitika sana ,wakati naulizia km habari za bomu kwa sheikh wa watu ni kweli kuwa ni bomu au nini na polisi wamefikia wapi nasikia tena hili,ktk maeneo sensitive hivyo?Nadhani sasa imefikia mahali barabara ile ifungulie kabisa pasiwe na giza na wapitaji wapite haraka
 
Ndugu serikali imeshindwa kuongozwa nchi, kilichobaki watanzania wenyewe tuamue nini cha kufanya kuanzia chaguzi ndogo mpaka uchaguzi mkuu mwakani, tatizo watanzania tumekubari kukatishwa tamaa na chama tawala pamoja serikali yake, tunaamini ya kwamba hatuna nguvu ya kuleta mabadiliko katika nchi yetu, tunakwepa kutimiza wajibu wetu wa kufanya maamuzi kupia kura, kwa ujinga wetu tunalisaliti taifa huku tukidhani tuisaliti siasa, hayo mabomu hakuna haja ya kumtafuta mchawi, ccm na serikali ndio wanaofanya michezo hiyo, na ndiyo maana majibu yao ni mepesi kabisa, na hawachukui hatua yoyote. Wanachowaza wao ni kuisambaratisha CHADEMA tu, iwe kwa kuua, kujeruhi, kufunga bila hatia nk, amka mtanzania tufanye mabadiliko ili tulinde usalama wetu na rasilimali zetu.
 
CCM inasikitisha sana.NI very incompetent party inayocheza sana uvumilivu wa watu kwa kiasi wasichojua nini hatari yake.Sijui lakini mwisho wake..ia kura yangu haitokaa iende CCM.By now nipo very concern na hii mizaha.
 
Back
Top Bottom