Nini kimeipata Tanzania na CCM

Nini kimeipata Tanzania na CCM

Back in the days, wakati najiunga JF kwa kufuata mkumbo; nilikuwa namtukana raisi wa muda huo JK.

Being me, sikosi haters; kulikuwa na mods wana re-type posts zangu nionekane siwezi hata kuandika.

Lakini uwezi zuia uwezo, na vichwa vya CCM vilkuwa vinapita humu; vinaona uwezo.

Na pengine wahusika wakatuuza; it doesn’t matter.

Nilicho onywa na wenye mamlaka, tukosoe japo inauma; lakini usitutukane viongozi. Na hao watu baadae baadhi yao nimekutana nao ana kwa ana.

Sasa najiuliza watu wale, walinzi wa chama waliokuwa na patient ya kutoa onyo kwa vijana wapo wapi leo.

Kale ka _Niffer kweli ni kakukipa kesi ya uhaini, miaka yake yeye sisi tulikuwa tunaonywa.

Matusi yangu ya leo ni mtu mzima najua risk ninazochukua.

But what happened na ile serikali ya malezi iliyoturekebisha sisi namna ya kuikosoa serikali tuwe vijana wema.

Kale ka Niffer kweli ni kaahini kama kangekuwa katoto kako au kamefanya makosa.

Let’s not make a mistake Niffer ningeweza kumzaa, so is Mangę ni age ya mtoto wake wa kwanza.

Don’t punish that little girl, have mercy; ni katoto kapuuzi tu ambako kanastahili onyo kwanza.

What happened ni ile serikali iliyokuwa inatuonya kwanza usiende huko.
Unazungumzia Niffer.

Check Wahaini wa serikali ya CCM.

Hakuna mwenye akili huko siku hizi.


20251110_112724.jpg
 
...
Hili ukilisema waziwazi kidogo hapo hujaeleweka kiongozi umesema kwamba wanawaelekezea bunduki na risasi watu ambao sio viongozi sio vigogo au hawana value yoyote humu JF ndio umemaanisha hivyo? Maana yako sio salama kwa watu wengine isipokua vigogo na viongozi?
Maximize your font size mkuu
 
Ndo maana sijawahi kuiamini jf hata kwa asilimia 20!!
Back in the days, wakati najiunga JF kwa kufuata mkumbo; nilikuwa namtukana raisi wa muda huo JK.

Being me, sikosi haters; kulikuwa na mods wana re-type posts zangu nionekane siwezi hata kuandika.

Lakini uwezi zuia uwezo, na vichwa vya CCM vilkuwa vinapita humu; vinaona uwezo.

Na pengine wahusika wakatuuza; it doesn’t matter.
 
Uongo.

Jamvi hili, lililoanzishwa 2006, halikuwepo wakati Niffer anavaa diapers. Niffer is way older than this jamvi. Hujatoa comments hapa wakati Niffer anavaa diapers.

Kwa hiyo unajiongelea tu mambo yasiyo na ukweli ili kujifurahisha tu. Hupaswi kuchukuliwa seriousIly.

Kama matusi ni mabaya basi iwe hivyo kwa kila raia, sio kwa viongozi tu. Hapaswi mtu yeyote kutukanwa. Acha kumbananga na kumtindigana Niffer. You can't tie her shoes.

Eti mara ya kwanza aonywe. Halafu mara ya pili iweje, apigwe mawe ? Logic zako mbovu.
Ndugu kuweka records sawasawa, hebu tafuta arguments za huyu mtu juu ya kupigwa risasi Tundu Lissu.

Hawa ni walewale Chupa mpya wine ya zamani.

However unlike his fellows yeye ana akili timamu tu ila kupenda UCCM/madaraka or whatever ndiko kunakomfanya awe alivyo, Akili anazo, morals ndio tatizo kwake.

Si ajabu alivyomuadress Niffer, hivyo ndivyo walivyo.

again Niffer hayuko pekeyake.. Anashtakiwa na wenzake 80+ Kwa makosa ambayo ushahidi wake unatia shaka.
 
Nyerere hakuwa chadema ila alivaa gwanda za kaki sometimes ..Kua chadema sio uasi au uhaini.

Mtu ambae hakufanya vizuri kwenye elimu yake ya ordinary level..usimtegemee akafanya makubwa akipewa dhamana kubwa kubwa kuliko uwezo wake wa uelewa na ufahamu.

Kama TAIFA tumerudi nyuma kama tupo Karne ya 16 kwanini tumefika tulipo tuanzie hapo.

Kama TAIFA tumekubari akili ndogo itawale akili kubwa hii haikubariki kwa watu wote wanao itakia mema nchi yetu ya tanzania

Tuweke picha za walio fariki kwa kutofikiwa na madaktari wakati wa lock down na machafuko?!

Mzee wangu mwenyewe almanusra atutoke sababu ya lock down na machafuko huko mkoani unadhani hili jambo halitengenezi chuki na uasi moyoni mwa watu??!

Tafakarii
...
Hawakuwahi kufikiria madhara ni yapi kwa kile walichoamua
 
Kama umesoma mada yangu, sisi tulikuwa tunaonywa kwanza tukivuka mipaka mara ya kwanza; katika umri wetu.

Mimi nimeanza ku-comment JF Nifffer akiwa anavya diapers. Na nilipewa huruma ya ujinga, kupitia maonyo acha matusi tutakuumiza.

Kosoa usitukane.

Leo hii binafsi nina haki ya kupambana na mafisadi kwa sababu nina akili timamu ya ugomvi ninao nunua na haya majizi, sio tena ule.

Sasa haka ka Niffer nakaona kama mimi ambae CCM na vyombo vya usalama wa wakati ule.

Ambao walikuwa wanatuonya kwanza.

Unajua hako ka Niffer pamoja na umaarufu wake ni katoto ambacho sidhani kama kamefikisha hata miaka.

Niffer ni mtoto mdogo sana, pamoja na mafanikio yake. Ni katoto ka kukaonya.

We got that privilege in our days, at that age ‘hey yo unavuka’ tena tumeuzwa na akina Maxence Melo wenyewe.

You think it’s easy being me, ndio kwanza hawa watu walioniuza kwao wakawa wananitafuta nikawafanyie kazi.

Ka Niffer ni katoto hilo serikali ya leo ielewe japokuwa imejaa watu wapuuzi.
Unejiunga jf 2021 kisha unasema umeanza kucomment Niffer akiwa anavaa dipers! Halafu unasema ulionywa uache kutukana, ulionywa na nani boss wakati kila siku watu wanaikosoa hiyo serekali ya majizi na hawajawahi kuonywa? Labda kama ulikuwa unakosoa kwa jina lako halisi, kitu ambacho si kweli.
 
Wanasema kacheza mziki wa Nywinywinywi hivyo huo ni uhaini.
ku.ma.mae zao yani uchungu nlionao nikpewa bomu la kujtoa muhanga lilipo lile libibi linywa damu za watanganyika mi npo tyr kumaliza mchezo hata sasahivi npo tyr kutoa roho yangu ili mradi nihakikshiwe nakufa na lile libibi la kzimkazi.
 
Miaka yetu kwa umri wake, wahusika walikuwa wanatuonya kwanza; usiende huko.

Kwa kuelewa tulikuwa naive and stupid; at that age.
Huyu hajui kama Niffer ana roho ya harakati ndani yake hawezi kuacha na sasa ndo wametengeneza attention kwake na vile muhaya ameenda shule kidogo niko hapa Niffer atakuja kua kiongozi yeye wanasema tatizo kuuza barakoa za kuzuia mabomu ya machozi wanasahau Niffer ni mfanyabiashara Je hizo barakoa kuziuza ni kosa kisheria?
 
Unejiunga jf 2021 kisha unasema umeanza kucomment Niffer akiwa anavaa dipers! Halafu unasema ulionywa uache kutukana, ulionywa na nani boss wakati kila siku watu wanaikosoa hiyo serekali ya majizi na hawajawahi kuonywa? Labda kama ulikuwa unakosoa kwa jina lako halisi, kitu ambacho si kweli.
Mimi nimeanza kuchangia JF 2009 tafuta ID JUMA Contena ilishafungwa.

Kipindi cha Magufuli nilikuwa natumia Eric Cartman, tafuta michango yangu siku Lissu kapigwa risasi uone kama nili-support japokuwa hata kipindi hiko nilikuwa simkubali.

And so many others ID’s along the way, tofauti baadhi yetu humu sometimes tunapewa sensitive info kuwasha humu. Kuondoa ushahidi accounts zinafutwa.

Kuhusu Niffer mimi hako katoto sikajui nimekatumia kama mfano kwa sababu ndio maarufu katika hiyo kesi ya uhaini.

Ila nimewahi sikia interview yake akielezea alivyo anza uangaikaji kwa mtaji boom; biashara ilivyoanza kuchangamka aka drop off university aendelee na ujasiriamali. Ame drop out of university hii miakaa hii baada ya COVID ni katoto.
 
Back
Top Bottom