Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,494
- Thread starter
- #21
...Don’t punish that little girl, have mercy; ni katoto kapuuzi tu ambako kanastahili onyo kwanza.
What happened ni ile serikali iliyokuwa inatuonya kwanza usiende huko.
Tuliambiwa tumevaniwa na wageni na ndio hao waliofanya yao. Sasa kwanini wasikamate hao wageni mkuu nakuwapa hizo kesiBack in the days, wakati najiunga JF kwa kufuata mkumbo; nilikuwa namtukana raisi wa muda huo JK.
Being me, sikosi haters; kulikuwa na mods wana re-type posts zangu nionekane siwezi hata kuandika.
Lakini uwezi zuia uwezo, na vichwa vya CCM vilkuwa vinapita humu; vinaona uwezo.
Na pengine wahusika wakatuuza; it doesn’t matter.
Nilicho onywa na wenye mamlaka, tukosoe japo inauma; lakini usitutukane viongozi. Na hao watu baadae baadhi yao nimekutana nao ana kwa ana.
Sasa najiuliza watu wale, walinzi wa chama waliokuwa na patient ya kutoa onyo kwa vijana wapo wapi leo.
Kale ka _Niffer kweli ni kakukipa kesi ya uhaini, miaka yake yeye sisi tulikuwa tunaonywa.
Matusi yangu ya leo ni mtu mzima najua risk ninazochukua.
But what happened na ile serikali ya malezi iliyoturekebisha sisi namna ya kuikosoa serikali tuwe vijana wema.
Kale ka Niffer kweli ni kaahini kama kangekuwa katoto kako au kamefanya makosa.
Let’s not make a mistake Niffer ningeweza kumzaa, so is Mangę ni age ya mtoto wake wa kwanza.
Don’t punish that little girl, have mercy; ni katoto kapuuzi tu ambako kanastahili onyo kwanza.
What happened ni ile serikali iliyokuwa inatuonya kwanza usiende huko.
Wewe unatakaje anyongwe au apigwe risasi ya kichwa? Chagua kimojaEti mara ya kwanza aonywe. Halafu mara ya pili iweje, apigwe mawe ? Logic zako mbovu.
...Tuliambiwa tumevaniwa na wageni na ndio hao waliofanya yao. Sasa kwanini wasikamate hao wageni mkuu nakuwapa hizo kesi
Nime clear doubt 🧐 kumbe Kuna kuuzana..?!Kama umesoma mada yangu, sisi tulikuwa tunaonywa kwanza tukivuka mipaka mara ya kwanza; katika umri wetu.
Mimi nimeanza ku-comment JF Nifffer akiwa anavya diapers. Na nilipewa huruma ya ujinga, kupitia maonyo acha matusi tutakuumiza.
Kosoa usitukane.
Leo hii binafsi nina haki ya kupambana na mafisadi kwa sababu nina akili timamu ya ugomvi ninao nunua na haya majizi, sio tena ule.
Sasa haka ka Niffer nakaona kama mimi ambae CCM na vyombo vya usalama wa wakati ule.
Ambao walikuwa wanatuonya kwanza.
Unajua hako ka Niffer pamoja na umaarufu wake ni katoto ambacho sidhani kama kamefikisha hata miaka.
Niffer ni mtoto mdogo sana, pamoja na mafanikio yake. Ni katoto ka kukaonya.
We got that privilege in our days, at that age ‘hey yo unavuka’ tena tumeuzwa na akina Maxence Melo wenyewe.
You think it’s easy being me, ndio kwanza hawa watu walioniuza kwao wakawa wananitafuta nikawafanyie kazi.
Ka Niffer ni katoto hilo serikali ya leo ielewe japokuwa imejaa watu wapuuzi.
Kiongozi, ongeza font size ya kifaa unachotumia, inakuwa shida kusoma post zako....
Watakwambia wao hawapokei maelekezo yako ila ushauri wako wameupokea
Wahusika wakikutaka kuuzwa sio kazi, inategemea wewe ni nani kwenye jamiii au unaiva vipi nao.Nime clear doubt 🧐 kumbe Kuna kuuzana..?!
Ndio maana Kila nikiandika nafuta kuna mambo nilitaka kuya andika kwa herufi kubwa ngoja niachane nayo Nina familia changa..
Hata shehe MAJINI alikuwa anasema hivyo hivyo kabla ya kifoKa Mange kalianza hivyohivyo. Wacha wakifinye mapema kajifunze kudeal na biashara yake badala ya kuwa mwanaharakati.
...Wahusika wakikutaka kuuzwa sio kazi, inategemea wewe ni nani kwenye jamiii au unaiva vipi nao.
JF inalinda vigogo wa serikali au wachangiaji ambao uongozi wa value kwao.
Vinginevyo wanakugawa, bure tuż
Kama hao ndiyo waliyo kuuza basi JF ain't safe.Kama umesoma mada yangu, sisi tulikuwa tunaonywa kwanza tukivuka mipaka mara ya kwanza; katika umri wetu.
Mimi nimeanza ku-comment JF Nifffer akiwa anavya diapers. Na nilipewa huruma ya ujinga, kupitia maonyo acha matusi tutakuumiza.
Kosoa usitukane.
Leo hii binafsi nina haki ya kupambana na mafisadi kwa sababu nina akili timamu ya ugomvi ninao nunua na haya majizi, sio tena ule.
Sasa haka ka Niffer nakaona kama mimi ambae CCM na vyombo vya usalama wa wakati ule.
Ambao walikuwa wanatuonya kwanza.
Unajua hako ka Niffer pamoja na umaarufu wake ni katoto ambacho sidhani kama kamefikisha hata miaka.
Niffer ni mtoto mdogo sana, pamoja na mafanikio yake. Ni katoto ka kukaonya.
We got that privilege in our days, at that age ‘hey yo unavuka’ tena tumeuzwa na akina Maxence Melo wenyewe.
You think it’s easy being me, ndio kwanza hawa watu walioniuza kwao wakawa wananitafuta nikawafanyie kazi.
Ka Niffer ni katoto hilo serikali ya leo ielewe japokuwa imejaa watu wapuuzi.
...We got that privilege in our days, at that age ‘hey yo unavuka’ tena tumeuzwa na akina @Maxence Melo wenyewe.
You think it’s easy being me, ndio kwanza hawa watu walioniuza kwao wakawa wananitafuta nikawafanyie kazi.
Soma post vizuri sio kuniwekea maneno....
Hili ukilisema waziwazi kidogo hapo hujaeleweka kiongozi umesema kwamba wanawaelekezea bunduki na risasi watu ambao sio viongozi sio vigogo au hawana value yoyote humu JF ndio umemaanisha hivyo? Maana yako sio salama kwa watu wengine isipokua vigogo na viongozi?
...Kama kutaka kujua msimamo wangu kwa Samia ni genge lake la wahuni wauwaji.
Ili tusiende back and forth kwenye hiyo hoja Samia ni shetani.
Sasa tujikite kwenye serikali inayotaka kuumiza watoto kwa makosa madogo; ndio msingi wa mada.
Good morning 👋...
Soma tena hapo nilipoweka bold
...Good morning 👋
Hili nilikua na doubt nalo Asante kwa kuni thibitishia.Wahusika wakikutaka kuuzwa sio kazi, inategemea wewe ni nani kwenye jamiii au unaiva vipi nao.
JF inalinda vigogo wa serikali au wachangiaji ambao uongozi wa value kwao.
Vinginevyo wanakugawa, bure tuż
Nyerere hakuwa chadema ila alivaa gwanda za kaki sometimes ..Kua chadema sio uasi au uhaini.wanachadema wamekua wakionyesha vitendo vya utovu wa nidhamu kipindi hiki isivyo kawaida
Hata haka nako eti ni kahaini. Roho imeniuma kweli nilipokaona. Nadhani nitakaoa haka kama hawatakanyonga. Ila Samia jamani kha!Back in the days, wakati najiunga JF kwa kufuata mkumbo; nilikuwa namtukana raisi wa muda huo JK.