Cement haionekani mtaani!!
Magari ya kampuni yanafanya kazi za kusomba somba mizigo huku mitaani ambayo haihusiani na kiwanda (kwa kifupi madereva wanatumia magari kwa manufaa yao au tuseme wamejimilikisha magari?
Michezo ya magari na vifaa vyake haielezeki.
Tuambiane nini kimetokea kwa wanaofahamu?
Ni njia ya kuongeza kipato kwa kampuni ama?Gari za dangote ziko tracked. Mizigo wabebayo huwa wanaruhusiwa
Watu wanakula side mirror balaa kwa 250k.
We jamaa bana sasa wator taarifa polisi kwani ni magari ya serikali yaleHawaruhusiwi kubeba mzigo zaidi cement na mawe ya gypsum ,Kama wanna mizigo tofaut na huo toen taarifa kituo chochote Cha police.
Hii nayo ni roho mbaya,yaani unaroho ya uchawi kwa jinsi ulivyotamkaHawaruhusiwi kubeba mzigo zaidi cement na mawe ya gypsum ,Kama wanna mizigo tofaut na huo toen taarifa kituo chochote Cha police.
Ni kweli kabisa na kila mtu afanye kile akifanyacho,tusiingilianeKila Mbuzi na ale kwa urefu wa kamba yake. Kwann mnateseka wenzenu wakipata?