Nini kimeikumba Dar Express?

Hizo ndo gari nnazopanda nikitoka arusha.

Zile gari nzuri sana. Zikiwa na utunzaji mzuri zinaweza kukaa sokoni hata miaka 10 ijayo.
 
Zama hizi ukijifanya mbishi eti hutaki kwenda na hali halisi inavyotaka lazima wende na maji.
Kuna kampuni nyingine kubwa na ya muda mrefu ya HOOD hii nayo magari yake tia maji tia maji sana , hii nayo inakoelekea sio kuzuri kabisa
 
Umesema ukweli kabisa.
 
kumbee na hayo yapo! mkuu kama vp kajipange uje utiririke vizuri! sie tunapandaga tu hayo magari hatuji lolote!
 
....Juzi nilienda msibani Moshi nikapanda BM VIP sh 35000 aisee very classic....kiyoyozi, charger, movies, music etc
 
Mzee kaoa kabinti kabichii baada ya mkewe wa awali kufariki. Kama ujuavyo tubinti twa insta havinaga time na investment wao kazi moja tu
Nami nilisikia hivyo. Kwamba baada ya mke wake kufariki na ambae alikuwa sehemu ya management, basi mambo yakaanza kwenda sio. Haka ka bi mpya kapo kapo tu, hakajali biashara. Mimi nime shift to Kilimanjaro bus kwa sasa.
 
Yaani mkuu , unamaanisha kila kitu kimechoka sana
 
Si unajia train inakuja hadi mwanza phace one morogor na phace 2 kabla ya 2020 dodoma na runamaliza kabisa mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…