Mkuu bila Shaka umelipwa usiku huu....Wewe umejuaje yote hayo kama Public haifuatilii?
Kwanza Mimi nimeona taarifa za CAG ikabidi niulize Je miaka ya nyuma nako CAG alikuwa anaenda kusoma taarifa upya Bungeni tena Ile Ile aloyosoma mbele ya Rais au ni utaratibu Mpya?.
Mwisho hii ya kuwasilisha taarifa Bungeni harafu mjadala wake unakuwa mwezi Novemba-Disemba ni upuuzi.
Lala Basi ukue...Ndio nimelipwa,wewe chadomo wanakuoihisha miayo
Yaani roho zituume kwa majizi kuwepo kwenye hilo bunge la Tanzania? Ni bunge la US Nini?kwamba mmejitafuta hamjioni 🤣
roho zinawaumaaaa🐒
wazalendo wawakilishi wa wanainchi wanachapa kazi bila mbambamba
sIku hzi hakuna Bunge bali n mkutano wa chama kimoja. Wakijadil sera na itikad za chama chao. Kama mpira wote n team moja wapo uwanjaniSikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea..
Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti.
Inashangaza sana.
Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo tena.
mnafatilia kiana sio 🤣Yaani roho zituume kwa majizi kuwepo kwenye hilo bunge la Tanzania? Ni bunge la US Nini?
mtu mwenye mihemko na gubu huwa anajivunga kufurahi mbele za watu tu, lakini akiwa pekeyake anainjoy na kufuatilia bunge vizuri sana, na hilo ndilo la muhimu zaidi.Mtu kama wewe ukiulizwa unataka taifa lako liwe la ngapi duniani kwa wananchi wake kuwa na furaha, bilashaka utajibu wananchi wawe na furaha ili iweje?? wananchi kuwa na furaha kwako sio kitu muhimu.
muulize nilie mjibu 🐒Huko bungeni hakuna hao unaowasema!
Ova
Duhmuulize nilie mjibu 🐒
hata hivyo bunge la Tanzania litaendelea kutekeleza majukumu yake kikamilifu kwa mujibu wa katiba , sheria, taratibu na kanuni zilizowekwa, kwa maslahi mapana ya waTanzania wote, hususani wale waTanzania wenye mihemko, gubu, wale wa kuzira, kususa, kugoma na hata waandamanaji. Ni waTanzania na Lazima wahudumiwe pia kwa haki na usawa 🐒
Embu nieleze wewe Kama wewe una mchakato gani kuinusuru nchi yako Kama unaona Ina matapeli pale bungeniHakuna bunge pale ni genge la matapeli,mafisadi,vibaka waliovaa suti wako pale kujaza matumbo yao
Sikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea..
Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti.
Inashangaza sana.
Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo tena.
Bunge linaendelea kama mtu sio mfatiliaji huwezi kujua, na hii haihitaji kutangaziwa na mabango kila kona kama michezo
Fatilia masuala ya nchi yako ujue nchi yako, ama subiriwa utafuniwe na vyombo vya habari katika vipaumbele wanavyoviteua wenyewe
Walipofuta live coverage ya bunge watu wakaamua kupotezea mazima.Bunge linaendelea kama mtu sio mfatiliaji huwezi kujua, na hii haihitaji kutangaziwa na mabango kila kona kama michezo
Fatilia masuala ya nchi yako ujue nchi yako, ama subiriwa utafuniwe na vyombo vya habari katika vipaumbele wanavyoviteua wenyewe
Siwezi kufuatilia waliohalalisha kuuza bandari yetu kwa wageni. Wamepitisha miswada mingi ya hovyo na mikataba mingi ya kuliumiza Taifa langu. Bado wameshindwa kuiwajibisha serikali inapofanya madudu hasa kutokana na ripoti ya CAG. Kiujumla siwezi kufuatilia bunge linalitetea serikali badala ya kuwawakilisha wananchiBunge linaendelea kama mtu sio mfatiliaji huwezi kujua, na hii haihitaji kutangaziwa na mabango kila kona kama michezo
Fatilia masuala ya nchi yako ujue nchi yako, ama subiriwa utafuniwe na vyombo vya habari katika vipaumbele wanavyoviteua wenyewe
Zaidi ya kuona hizi post za bunge hapa jf, Sina muda wa kufuatikllia huo ukhanithi.mnafatilia kiana sio 🤣
kuna wimbo moja wa msanii anaitwa huseni machozi unaitwa UTAIPENDA, unawahusu sana but pia ni dedication kwenu wote mnafatilia bunge kwa mihemko na gubu 🐒
hata hivyo,
ni vizuri kufuatilia bila kujivunga msijifiche haina maana yeyote 🐒
unajiumiza bure tu kisaikolojia,Zaidi ya kuona hizi post za bunge hapa jf, Sina muda wa kufuatikllia huo ukhanithi.
Bunge halina mvuto kwa sababu hakuna ushindani, kila mmoja ni CCM pale bungeniSikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea..
Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti.
Inashangaza sana.
Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo tena.