Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,303
- 74,071
Hili bunge uwepo wake na kutokuwepo vyote ni sawa tuNa mii kama wewe nimejua kupitia wewe πππππ
Bunge la mchongoNini kimefanya bunge lipoteze mvuto!?
La ovyo kabisaHilo ni bunge la ccm, na ccm haina mvuto.
Tulia basi na huku tusifungiwe, ukitaka kuchachuliwa nitag kwenye uzi uliosuswa chit chat πKwani kati ya sisi watatu nani ajafungiwa ,πππππππππ..
πππππ
Mi nakusalimia tu lakini ahahahahah coca hajambo.?
Weeeeh usiseme hivo watakusikia πππππππHili bunge uwepo wake na kutokuwepo vyote ni sawa tu
Sawa sis πTulia basi na huku tusifungiwe, ukitaka kuchachuliwa nitag kwenye uzi uliosuswa chit chat π
Kesho naanza kufatilia basiWeeeeh usiseme hivo watakusikia πππππππ
Ushaanza ushaanza ππππππππππππBunge la mboga mboga sifatilii halina jipya
HahaaBunge la mboga mboga sifatilii halina jipya
Natumia uhuru wangu kusema kile ninachokiona wee dogo vipi?? πππUshaanza ushaanza ππππππππππππ
Kuna mods wanakufatilia ujue eeeh endelea
Halafu kila mwanaume anayenipenda wa mboga mboga sijui kuna shida gani?? πππHahaa
Sis sio mi vipi...πππNatumia uhuru wangu kusema kile ninachokiona wee dogo vipi?? πππ
Kimbia kama ukoma...ukila pesa yake utailipa tu. Hawana utuHalafu kila mwanaume anayenipenda wa mboga mboga sijui kuna shida gani?? πππ
Kwender πππSis sio mi vipi...πππ
Ila najaribu tu kuku alert
πππKimbia kama ukoma...ukila pesa yake utailipa tu. Hawana utu