Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,886
- 2,767
- Thread starter
-
- #41
Sikubaliani na wala siamini maneno yanayotolewa kwamba Profesor Mwakyusa alimpuuza Mwalimu Nyerere wakati wa ugonjwa wake uliopelekea kifo. Tutambue kama daktari bingwa Mwakyusa hakutarajiwa kumfanyia "Nursing" mgonjwa wake kwa kukaa naye masaa 24. Pia Mwakyusa Kama daktari bingwa aliendelea kumfanyia uchunguzi wa vipindi (periodic check ups) bila kuhitajika kuhamia Butiama na kuyaacha majukumu yake mengine na wagonjwa wake ( Uzi huu unataka kutuaminiisha kuwa hicho ndicho alichotakiwa kufanya). Kwakua Mwalimu alikua anaishi Butiama ni dhahiri alikua anaonwa na daktari aliye karibu Kama huyo daktari anaye tajwa.
Wakuu tuache kuchokonoa mambo ambayo hakika hatuna uthibitisho nayo na wala hatuna nia na wala uwezo wa kupata ukweli. Tunajivunjia hadhi kudakia mambo ya hisia za WATU ambao baadhi Yao afya ya akili zao inautata.(questionable mental health).jamii yetu inajiongezea ujinga kutokana na uvivu wa kuzisaka na kupata taarifa sahihi mfano kuna WATU wanaamini kwamba babu Seya alisingiziwa wakati wangeweza kwenda mahakama ya kisutu kupata mwenendo wa kesi na kusoma ushahidi wa watoto tisa wenye umri kati ya miaka 8 na 12 halafu ndio waseme amesingiziwa au la.
Tatizo la kuamini mambo ya kijinga kijinga ndo kama hili.Walikwambia kuwa walishindwa? Au waliandaliwa washindwe?
Ukisha amini conspiracy theories, the minimum you can do to your own intelligence capacity is at least have some proof.Naona jitihada za kufunika kombe ni kubwa sana hapa. Ni mambo mengi tu ambayo hufunikwa tu ili yapite na mwisho wa siku walio kwenye mfumo waendelee kupeta tu. Mengi yalifukuliwa na Dk Slaa lakini mwisho wa siku akaambiwa kuwa ni udaku tu, mwisho wa siku mambo yakawa hadharani. Kwani kuna ubaya gani tukijua uppande wa prof mwakyusa? Acheni kupuuzia mambo fulani fulani
Ukisha amini conspiracy theories, the minimum you can do to your own intelligence capacity is at least have some proof.
The onus of proof rests ON YOU and not your perceived culprit,Prof Mwakyusa.
Na ndio maana nasema ukiamini upuuzi wowote, na ukauvisha shanga za kisiasa kupitia chama fulani, basi utaamini chochote.
Kama ulivyosema kukiwa na proof,Dr Slaa azitoe hadharani na kama zina ukweli, kwa nini tusiziamini kuliko half cooked allegations.
This line of argument defies logic.kuna ubaya gani kuhoji uadilifu wa mwakyusa katika hili sakata ambalo nae yumo ndani? Yeye kama daktari wa Mwalimu alichukua jitihada zipi kuona kuwa Mwalimu anapata matibabu sahihi na kwa wakati? Kwa nini Mwalimu augulie kitandani Butiama hadi kina Gachuma wawe na wazo japo la kumpeleka Nairobi? Kwa nini mwakyusa asionekane popote hapo katika mchakato wa matibabu ya Nyerere? Kwa nini tusiamini kuwa mwakyusa ni mpuuzi? Kwa nini tusiamini kuwa ana maswali ya kujibu? Uzuri jf ni pana sana na majibu utayapata hapa
UKIMWI ni finyazo (abbreviation) tu. Ukimwi sio ugonjwa, hivyo na wewe utanue fikra zako. Turudi kwenye mada ya Mwakyusa
Bibi nawe .... shikamoo!
Ninapita tu ... ila sijakuona siku nyingi sana.
This line of argument defies logic.
At any rate it is both nonsensical and laughable.
Raia Fulani piga kampeni ili Prof Mwakyusa afukuzwe kazi na mwajiri wake, au Kama wanvyofanya waasomi, andika kitabu ukieleza synopsis yako ukieleza Yale unayofikiri yalitendeka.
Vincenti si yupo?, you can refer to him!
Ah hapa naona kuna mtu mwenye akili iliyopevuka.Marahaba. Nipo mitaani ila nyinyi wajukuu zangu munanichosha sana kwa uvivu wenu wa kuchambua mambo. Kila leo munapakazia watu vitu, vibaya hivyo jamani.
Sukupati mkuu, don't change thebgoal posts!kusema kuwa vincent si ukoo wa Nyerere na kusema kwamba mwakyusa hakuwajibika na afya ya baba wa Taifa, which defies logic? Pia Tungekuwa tunaishi kwa logic tu wala dunia isingekuwa hapa. Upo hapo? Kwako wewe logic ni nini?
Mfano wangu unaamsha ari ya WATU Kama wewe kuacha uvivu wa kutafuta ukweli(Kama unania) badala ya kukurupukia shutuma za kuungaunga. Sidhani kama unaouwezo wa kutathmini uwezo wangu wa kiakili kuweza kuniita mjinga.kwa mfano wako wa mwisho unataka tuamini kuwa Mwakyusa hasingiziwi sio? Jambo ambalo ni ujinga kwako, kwa mwenzio ni elimu tosha, so kuwa mpole na ukweli utajulikana hapa
Mfano wangu unaamsha ari ya WATU Kama wewe kuacha uvivu wa kutafuta ukweli(Kama unania) badala ya kukurupukia shutuma za kuungaunga. Sidhani kama unaouwezo wa kutathmini uwezo wangu wa kiakili kuweza kuniita mjinga.
Sukupati mkuu, don't change thebgoal posts!
Allegations zako kuwa Pro Mwakyusa alimtelekeza Mwalimu bado hujai thibitisha kwa hard facts.
That why it's nonsensical.
Logic dictates that since tayari Butiama kulikuwa na Daktari by the name of Dr Malima(you said it) inabidi utueleze Funguo ya maisha aliyo kuwa nayo Prof Mwakyusa, tofauti na Dr Malima.
Ah hapa naona kuna mtu mwenye akili iliyopevuka.
Katika mada nzima sijaona hata mtoa mada amefafanua kwa utafiti wake nini kimemwua Mwalimu.
Watu wanaandika tu dhana finyu za mawazo yao.
Tatizo kubwa la wana JF wengine wenye akili ndogo, ni kufikiri kuwa kila mtu ana akili ndogo kama za kwao.
Ningemuuliza mtoa mada juu ya Rais Mstaafu Mwalimu, Kama alikabidhiwa watumishi aliokuwa nao ofisini kwenda nao Butiama.
Ningemshauri afikiri kwanza kabla ya kujibu swali hili.
wakati unasoma hapa unakuwa unafanya nini kingine? Soma kwa matao. Nimesema kuwa jambo ambalo ni ujinga kwako (mada husika) ni elimu tosha kwa mwenzio. Kwa lugha nyepesi zaidi mimi ninayehoji ndiye mjinga. Upo?[/QUO
Nimekusoma bila kufanya kitu kingine. Naamini wewe sio mjinga. Baada ya kuachana na kutoa "misifa" unaushahidi wa kitaalam kwamba Prof. Mwakyusa alimpuuza mgonjwa wake? Achana na hadithi za watu...kwa kukusaidia JE Mwalimu alikua na appointment au Routeen check up ambayo haikufanyika kwasababu Daktari wake "alimpuuza"?
Acha utoto wewe, hujui kitu, usirukie mambo yanayokuzidi kimo. Ukweli una tabia mbili kuu, kwanza haukubali kuzikwa hivi hivi, sometime it will have to raise its ugly head and when it does, belive me, the guilty tremble! Pili ukweli hauamki peke yake, huamsha na mengine mengi yaliyo machungu zaidi. Kijana, jitihada zako katika hii mada ni dalili tosha kwamba labda kwa namna fulani huo ukweli unawagusa wengi, waliomo na wasiokuwamo.This line of argument defies logic.
At any rate it is both nonsensical and laughable.
Raia Fulani piga kampeni ili Prof Mwakyusa afukuzwe kazi na mwajiri wake, au Kama wanvyofanya waasomi, andika kitabu ukieleza synopsis yako ukieleza Yale unayofikiri yalitendeka.
Vincenti si yupo?, you can refer to him!
Pole sana kwa jina kubwa kama Mag3 kuungana na small time thinkers.Acha utoto wewe, hujui kitu, usirukie mambo yanayokuzidi kimo. Ukweli una tabia mbili kuu, kwanza haukubali kuzikwa hivi hivi, sometime it will have to raise its ugly head and when it does, belive me, the guilty tremble! Pili ukweli hauamki peke yake, huamsha na mengine mengi yaliyo machungu zaidi. Kijana, jitihada zako katika hii mada ni dalili tosha kwamba labda kwa namna fulani huo ukweli unawagusa wengi, waliomo na wasiokuwamo.
Pole pole woga waliokuwa nao wengi umeanza kutoweka na taratibu watu wanajitokeza kueleza yale wanayoyajua na mpaka sasa ni rasha rasha tu. Mvua zenyewe za masika bado na tayari Mkapa kwa kutambua hatari ya uropokaji wake anahangaika kutafuta suluhu, no it is too late for that now. Kama alivyosema Shakespeare katika tamthiliya yake ya Macbeth, manukato yote ya Arabia hayawezi kuusafisha mkono wake Mkapa, kalikoroga na asubiri kulinywa.
Unauliza eti, where is the evidence? Na mimi nikuulize, unapata wapi uhalali na ujasiri wa kukanusha jambo usilolijua? Unawatetea watuhumiwa wewe kama nani au umetumwa na nani? Mkapa ale kushiba ashibe masopakyindi, Mkapa atuhumiwe lakini utetezi atoe masopakyindi, Mkapa achomwe mkuki damu avuje masopakyindi...who the hell is masopakyindi? Kwanza umekiri kuwa hujui chochote, sasa pilipili usioila yakuwashiani? Acha hizo.