Sababu ninayoiamini mimi binaafsi ni kuwa Kennedy alikuwwa akijiandaa kufutilia mbali the Federal Bank of America iliyobuniwa maka ya '30. Hii ndiyo benki inayochapisha dola kisha kuziuza kwa serikali kwa faida (interest). Benki hii inamilikiwa na watu binafsi ambao ni Mayahudi Wazayuni. Angefanikiwa kufanya hivyo angeathiri vibaya mipango ya Mayahudi ya kuitawala Marekani (kama ilivyo hivi sasa) na hatimye kuutawala ulimwengu. Baada ya kuuwa kwake jambo la kwanza lililobatilishwa ni mpango huo wa kufuta Federal Bank na kuweko tu na national bank itakayomilikiwa na serikali ya muungano wa majimbo ya Marekani.
Ukipekua sana utaona benki hii ndiyo chanzo cha matatizo yote ya kifedha, Marekani na duniani. Na hakuna rai yeyoote wa Mrekani anaethubutu kuigusa. Ukilijadili kireefu sual hili watakuambia wewe ni anti-semitic na huenda ukapigwa marufuku kuingia Marekani, Uingereza, Ufaransa (makoloni ya Wazayuni) kama vile mwana vichekesho Mfaransa-MCameroon Dieudonne M'bala M'bala!