stori yako inavutia.Mimi kusema ukweli jf nimeifahamu mwaka 2012 nilikuwa naingia kupitia kompyuta za chuo.
Kuna memba nilikuwa nawakubali kama mshana jr,otorong'ong'o, rala 1, Ambiele kiviele , gentamycine(popoma aliyetukuka) Nilikuwa nafurahi sana .
Mule muleNilisearch google kuulizia kitu fulani cha shule ikanileta JF, nilivyoona kuna option ya kujoin nikajoin hapo hapo kama kujaribu tu
Mijadala ndio burudani yanguWakuu,
Kila mmoja wetu humu jukwaani ana stori yake ya kuvutia,kusisimu na kushangaza ya kwa nini alijiunga jf!
Wapo waliovutiwa na stories za mapenzi,siasa,michezo nk.
Kwa upande wangu stori yangu iliyosababisha nikajiunga kujiunga jf ni ndefu ila ya kuvutia,niliwahi kumsimulia mshamba_hachekwi katika uzi flani,atakuja asimulie hapa.
Dondosha chanzo cha wewe kujiunga jf.
Stori gani hii au ile ya maisha yangustori yako inavutia.
ivi inawezekana tv kusoma maoni ya wadau wa jf ya sasa?Startv kipindi cha habari asubuhi, kama sikosei kilikua kinaitwa "Tuongee Asubuhi" katika mada ya siku hiyo kuna muda ukifika lazima wasome maoni ya jf. Ila kujiunga rasmi nikaja kujiunga baadae sana lengo likiwa kusoma nondo mbalimbali
Siku hizi macho mengi yapo twitterivi inawezekana tv kusoma maoni ya wadau wa jf ya sasa?