Nini kilijiri mpaka Said Salim Bakhressa akamwagiwa shehena ya Unga wake?

Mbona mnawasema Sana wafadhili wa vilabu watakasirika Halafu soma lenu libume!
 
Umetumwa......!!
Wewe umetoa wapi hizo habari?
na kwa nini usingeuliza maswali yote haya hukohuko kwa huyo mtoa taarifa wako?
.
.
Hututakii mema wewe!
Kwani lazima ujibu kila comment??
 
jifunze kuwa tofautisha biashara na vyama siasa.hapo utaishi kwa rahaa
 
Ali support CUF zenji... Tangia kipindi hicho hadi leo hajawahi kujihusisha na mambo ya siasa hadharani, na kula Azam Stadium naskia lile eneo alipewa na serikali....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…