Kwa hiyo NGANO ndio UNGA WA NGANO??......bado tuna safari ndefu zaidi kama taifa.Kwa hiyo ngano ni mchele sio? Bado tuna safari ndefu sana kuuondoa huu ujinga kwenye vichwa vyenu
Kwa hiyo NGANO ndio UNGA WA NGANO??......bado tuna safari ndefu zaidi kama taifa.
Kwani lazima ujibu kila comment??Umetumwa......!!
Wewe umetoa wapi hizo habari?
na kwa nini usingeuliza maswali yote haya hukohuko kwa huyo mtoa taarifa wako?
.
.
Hututakii mema wewe!
Kwa hiyo ngano ni mchele sio? Bado tuna safari ndefu sana kuuondoa huu ujinga kwenye vichwa vyenu
Kwa hiyo NGANO ndio UNGA WA NGANO??......bado tuna safari ndefu zaidi kama taifa.
Innaruti sipendi utani wako huo. Mimi ni clen boy.Umemeza vidonge kweli?
jifunze kuwa tofautisha biashara na vyama siasa.hapo utaishi kwa rahaaNaskia miaka ya nyuma, Mfanyabiashara Said Salim Bakhressa (SSB), aliwahi kumwagiwa shehena yake ya Unga na Serikali baada ya kuingiza mzigo huo toka nje ya nchi. Sababu kuu ikidaiwa kuwa unga huo upo chini ya viwango.
Lakini SSB hakuridhika akaamua kufungua kesi mahakamani dhidi ya Serikali na kushinda kesi hiyo.
Je ni kweli lile jengo la pale karibu na Tazara mkabala na Mfugale bridge alipewa kama fidia na serikali?
Je kama ni kweli, nini hasa kilisababisha hadi SSB amwagiwe mzigo wake tena chini ulinzi mkali wa jeshi?
Meza ARV zako ww upate afya tusije tukakupoteza mapemaInnaruti sipendi utani wako huo. Mimi ni clen boy.
Ushakuwa mwanamke wa dsm
Angeitwa mhujumu uchumiRound hii asingeshinda kesi ..unga angemwagiwa na deme angenyea....hahahaaaa noma sana