Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,722
- 45,132
Naskia miaka ya nyuma, Mfanyabiashara Said Salim Bakhressa (SSB), aliwahi kumwagiwa shehena yake ya Unga na Serikali baada ya kuingiza mzigo huo toka nje ya nchi. Sababu kuu ikidaiwa kuwa unga huo upo chini ya viwango.
Lakini SSB hakuridhika akaamua kufungua kesi mahakamani dhidi ya Serikali na kushinda kesi hiyo.
Je ni kweli lile jengo la pale karibu na Tazara mkabala na Mfugale bridge alipewa kama fidia na serikali?
Je kama ni kweli, nini hasa kilisababisha hadi SSB amwagiwe mzigo wake tena chini ulinzi mkali wa jeshi?
Mkuu nadhani ilikuwa ngano sio unga kipindi cha Mkapa.
Kuna uzi humu Jf unaelezea nini kilijiri mpaka akapewa bure eneo la Tazara.
Said nae akatambaa na ndege mpaka alikotoa huo unga wakakutana chumba kimojaSerikali iliambiwa ipeleke unga katika maabara zao,na Mkemia mkuu wa serikali apelekwe vyote vikapimwe ili ijurikane nani mbovu kati ya unga au mkemia.Serikali ikatambaa na reli hadi TAZARA

Naona ilikuwa km movie vilee,serikali chaliiiiSaid nae akatambaa na ndege mpaka alikotoa huo unga wakakutana chumba kimoja
Kwa hiyo ngano ni mchele sio? Bado tuna safari ndefu sana kuuondoa huu ujinga kwenye vichwa vyenuMkuu nadhani ilikuwa ngano sio unga kipindi cha Mkapa.
Kuna uzi humu Jf unaelezea nini kilijiri mpaka akapewa bure eneo la Tazara.
Naona ilikuwa km movie vilee,serikali chaliiii
Kwa hiyo ngano ni mchele sio? Bado tuna safari ndefu sana kuuondoa huu ujinga kwenye vichwa vyenu
Unga upi alimwagiwa. Huu wa Chid Benz au wa Mama Ntilie?
AiseeUnga upi alimwagiwa. Huu wa Chid Benz au wa Mama Ntilie?
Umemeza vidonge kweli?Aisee
CUF ndio chaguo la wanzazibari daima milele.CCM wasaliti .Wachambuzi wa mambo humu Jf wanadai kisa Mzanzibar kuisapoti CUF wakati biashara zake ziko bara.
Sirikali ina nguvu