Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,712
- 45,090
Naskia miaka ya nyuma, Mfanyabiashara Said Salim Bakhressa (SSB), aliwahi kumwagiwa shehena yake ya Unga na Serikali baada ya kuingiza mzigo huo toka nje ya nchi. Sababu kuu ikidaiwa kuwa unga huo upo chini ya viwango.
Lakini SSB hakuridhika akaamua kufungua kesi mahakamani dhidi ya Serikali na kushinda kesi hiyo.
Je ni kweli lile jengo la pale karibu na Tazara mkabala na Mfugale bridge alipewa kama fidia na serikali?
Je kama ni kweli, nini hasa kilisababisha hadi SSB amwagiwe mzigo wake tena chini ulinzi mkali wa jeshi?