Nini kilijiri mpaka Said Salim Bakhressa akamwagiwa shehena ya Unga wake?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,701
45,042
Naskia miaka ya nyuma, Mfanyabiashara Said Salim Bakhressa (SSB), aliwahi kumwagiwa shehena yake ya Unga na Serikali baada ya kuingiza mzigo huo toka nje ya nchi. Sababu kuu ikidaiwa kuwa unga huo upo chini ya viwango.

Lakini SSB hakuridhika akaamua kufungua kesi mahakamani dhidi ya Serikali na kushinda kesi hiyo.

Je ni kweli lile jengo la pale karibu na Tazara mkabala na Mfugale bridge alipewa kama fidia na serikali?

Je kama ni kweli, nini hasa kilisababisha hadi SSB amwagiwe mzigo wake tena chini ulinzi mkali wa jeshi?
 
Mkuu nadhani ilikuwa ngano sio unga kipindi cha Mkapa.

Kuna uzi humu Jf unaelezea nini kilijiri mpaka akapewa bure eneo la Tazara.

Naskia miaka ya nyuma, Mfanyabiashara Said Salim Bakhressa (SSB), aliwahi kumwagiwa shehena yake ya Unga na Serikali baada ya kuingiza mzigo huo toka nje ya nchi. Sababu kuu ikidaiwa kuwa unga huo upo chini ya viwango.

Lakini SSB hakuridhika akaamua kufungua kesi mahakamani dhidi ya Serikali na kushinda kesi hiyo.

Je ni kweli lile jengo la pale karibu na Tazara mkabala na Mfugale bridge alipewa kama fidia na serikali?

Je kama ni kweli, nini hasa kilisababisha hadi SSB amwagiwe mzigo wake tena chini ulinzi mkali wa jeshi?
 
Umetumwa......!!
Wewe umetoa wapi hizo habari?
na kwa nini usingeuliza maswali yote haya hukohuko kwa huyo mtoa taarifa wako?
.
.
Hututakii mema wewe!
 
Serikali iliambiwa ipeleke unga katika maabara zao,na Mkemia mkuu wa serikali apelekwe vyote vikapimwe ili ijurikane nani mbovu kati ya unga au mkemia.Serikali ikatambaa na reli hadi TAZARA
Said nae akatambaa na ndege mpaka alikotoa huo unga wakakutana chumba kimoja
 
Back
Top Bottom