Nini kifanyike watoto bado wanakaa chini baadhi ya shule ???

Nini kifanyike watoto bado wanakaa chini baadhi ya shule ???

Waambieni viongozi wenu wapunguze ufisadi na sifa za kijinga, wkaituliza kaili kidogo tu, tanzania inaweza kuwa nchi ya asali na maziwa..
Ila tamaa zao za mali, zinafanya wanakos akili za maendeleo wanabaki na kaili za kuibia tu nchi na kufosi kukaa madarakani
 
Back
Top Bottom