Nini kifanyike kwa mtu huyu?

Nini kifanyike kwa mtu huyu?

Komba03

Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
94
Reaction score
72
Habari zenu wakuu!

Nia ya kuanzisha uzi huu ni kuomba maoni na ushauri wenu katika kuokoa Watu mbalimbali, wake zetu na mabinti zetu!
Huku mtaani tumapoishi Kuna binti ana tabia ya usagaji.

Anapenda Sana kutongoza mwanamke yeyote atakaye tokea kumvutia, haijalishi ni mke wa mtu, binti au yeyote mwanamke! Imegundulika amewafanyia wengi na sehemu anayopenda kuwafanyia Ni ktk choo Cha sehemu yake ya biashara na Nyumbani kwake (Ghetto) Sasa jamii ki ukweli tunatafuta namna ya kufanya ili tuone tunafaulu vipi katika kumchana ukweli au kumuondoa ktk sehemu yake hiyo ya biashara!

Jitihada za kumwona mwanasheria tayari tumezifanya lakini kisheria imeonyesha Kuna kaugumu fulani, wadau tupeane namna ya kufanya tufaulu Hilo!

Nawasilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yani mumtoe kwenye biashara kwa sabab ya privacy zake?kwani anawabaka?anafanya nao mbele za watu?mna ushahidi au maneno ya vijiweni tu?kwa nini asijitokeze mtu akamkanya tu?kwani nyie hamna shughul za kufanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom