Nini kifanyike kunusuru ndoa hii?

Nini kifanyike kunusuru ndoa hii?

Inaumiza sasa kama hii story ya kitambo leo inaombewa ushauri jamani. Ukijua na umetoa ushauri lazima uumie. Maana huu ushauri wa 2020 unaenda vipi kutatua tatizo la 2015 huko.

Tuelewe tu mama, wengine tunaandika thread ili na sisi tuone ni kwa kiasi gani watu watachangia kwenye tulichokiandika.

Wengine tunaandika thread ili tu tujaze traffic kwenye comments.

Wengine tunaandika yanayotusibu kweli ili tupate ushauri wa kutusaidia.

Wengine ni comedians, tunafanya jokes.

Wengine tunaandika thread ili tufikishe ujumbe au taarifa.

etc etc.
 
Wewe unaangukia kundi gani hapo? Ngoja nitafute mada zako
 
Niliisoma mwanzo kabisa nilipoona ndoo ikafanya nini sijui nikaachana nayo nirudi kusoma comments. Kumbe sikukosea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom