Nini kifanyike kuisambaratisha CCM?

Ngamia anaweza kupenya kwenye tundu la sindano ila ccm bila katiba mpya haiwezekani.
 
CCM ni Bingwa wa Duniani kwenye kombe la Dunia la kudumu kwenye Mashindano ya uchakachuaji wana makocha na wachezaji wa kutosha. ccm hawana mpinzani Duniani.
 
albadri tuuu baaasi
Albadri zifanyike kwa siri kwani sasa Le mutuz na kikundi chao wanayo Bajeti ya kuzuia kokote wakisikia Albadri inasomwa wanakwenda kuzuia hasa ikiwa ni Albadri inayohusu Nissan nyeupe.
 
Rudisha TANU na ASP
 
UKAWA
 
Watakaoisambaratisha CCM ni wanaccm wenyewe
 
Mkuu Unanikumbusha kampeni za kule USA.
 
Tatizo wapinzani wakipata uongozi wanahongeka kirahisi kana kwamba wapo uwanja wa fisi.

Wangekuwa wasimamizi wa serikali wangehongwa na wazungu na kuuza nchi yote.
Mbona Nyie mliohongwa suti mkasaini mikataba mikubwa ya uwekezaji.
 
Make your opponent looks smarter than You.
(48 rules of power)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…