Nini kifanyike kuisambaratisha CCM?

Btw "mstaafu anayewashwawashwa" ndo Sumaye?
Kwani Sumaye ni mstaafu? Sumaye ni Waziri Mkuu wa zamani. Hata leo anaweza kuteliwa tena kuwa Waziri Mkuu! Kwenye ngazi ya Uwaziri Mkuu hakuna kustaafu!
 
Chadema lazima ife kwanza kisha kizaliwe chama halisi cha upinzani.
Kumbe ndiyo maana mnataka kuiua CUF? Yaani ndani mwenu muda wote mnawaza wenzenu wafe. Sisi tunataka CCM isambaratike kama UNIP ama KANU nyie mnawaza kuua vyama vingine!
 
Kwenye nini? Maana kuulizia tu dira ya CHADEMA bila ya kusema kwenye kitu gani mahsusi inaonesha wala huna ulijualo kuhusu dira!
Hii inaonesha ni jinsi gani unafuata mkumbo kwenye siasa. Kama ww ni mwanachadema na hujui sera na dira ya chama chako , unafanya nn kwenye siasa kwa hiyo ww ni sawa na gari bovu ambao limekosa mwelekeo. Kwa hiyo kuitoa ccm madarakani ni kama ndoto ya mchana
 
Namna nzuri ya kuisambaratisha ccm ni kujiunga na ccm with mission. Baada ya muda kunatokea uasi ccm inasambaratika vipande vipande na huo ndio utakuwa mwisho wake
 
The time is coming ccm must die na sitaomboleza zaidi zaidi itakuwa sherehe
 
. Kwa hiyo kuitoa ccm madarakani ni kama ndoto ya mchana
usitoke kwenye mada uliyoianzisha. Dira ya CHADEMA inahusiana na huku kufanya mambo hovyo hovyo kunakoonekana hapa nchni mwetu?

Unataka kujua dira ya CHADEMA kwenye jambo gani hasa!?
 
Ukisikia Chadema wanarukia matukio ndo wanayageuza siasa hili ni anguko la upinzani,ukisikia Chadema wanasema huyu mtu ni mwizi hafai lakini ghafla huyo mwizi anakua mgombea wao haya ni madhara makubwa ktk upinzani,ukisikia mtu wa kwanza kuhojiwa ambaye ni dereva wa Tundu alipokua nae wakati wa tukio la kinyama na kiongozi wa upinzani kamkimbiza hataki ahojiwe ujue wanaoelewa wameshaelewa.hakuna cha kuiangisha CCM,siasa za youtube,Jf,facebook,Insta na mitandao ya kijamii haitasaidia upinzani kutuaminisha wananchi
Piteni hivi[emoji117]


JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
,siasa za youtube,Jf,facebook,Insta na mitandao ya kijamii haitasaidia upinzani kutiaminisha wananchi
Piteni hivi[emoji117]
Wewe hapa unafanya siasa kwenye nini kama si kwenye mtandao wa kijamii. Kijijini kwenu hakuna hata mtu mmoja anayejua kutumia "smartPhone"?
 
Kwa ivo haiwezekani kuwa nje ya CCM na kuweza kuisambaratisha. Kwa nini?
Huwezi kuiondoa Ccm ukitokea nje. Lowasa na Sumaye wameongeza nguvu ya upinzani.
Ugomvi wa Ccm ni faida ya upinzani.
Muwachukue 1: Member 2: Kinana3:Nape 4: Kikwete 5: Mwiguru 6; Januari.
Angalizo: Ccm itakuwa imehamia ukawa lakini ideology ni zilezile.
 
Simple:
1)Badilisha katiba uilete ile ya Warioba
2)Tenganisha Siasa na Serikali
3)Punguza madaraka ya Rais hasa ya uteuzi wa nafasi nyeti
4)Bunge na Mahakama zichague viongozi wake kuu!

Ila swali linakuja:uwezekano wa hayo kutokea upo?
 
Simple:
1)Badilisha katiba uilete ile ya Warioba
2)Tenganisha Siasa na Serikali
3)Punguza madaraka ya Rais hasa ya uteuzi wa nafasi nyeti
4)Bunge na Mahakama zichague viongozi wake kuu!

Ila swali linakuja:uwezekano wa hayo kutokea upo?
5. Chadema lazima ife, ni sumu ya kila kitu kuendelea ktk arehi ya nchi hii.
 
Kwani Sumaye ni mstaafu? Sumaye ni Waziri Mkuu wa zamani. Hata leo anaweza kuteliwa tena kuwa Waziri Mkuu! Kwenye ngazi ya Uwaziri Mkuu hakuna kustaafu!
Eeeh!? Kumbe wanapowaita "mawaziri wakuu wastaafu" ni makosa?

As far as hiyo mstaafu, nimesha "connect dots"
 
Hakuna cha kufanya zaidi ya kuwaacha waendelee kukisambaratisha wenyewe
 
Kwani waliohongwa ni madiwani wa Chadema ama ni machangu?
 
Kwani waliohongwa ni madiwani wa Chadema ama ni machangu?
Hoja hapa ni kwamba vyama vingine havina tabia ya kifisadi ya kuhonga viongozi wa vyama vingine ili wajiunge na vyama hivyo isippokuwa CCM ndiyo wenye tabia hiyo!
 
Peleka kwa wanahabari za kuvamiwa na wanaCmm juu yako familia yako ikiwezekana mpige shaba mwanao kwa usiri wa hali ya juu.

2020 gombea urahisi nakuhahakishia lazima Cmm lazima ianguke.
 
Viongozi wa Zanzibar na bara wa ccm wapelekwe mahakama za uhalifu wa kimataifa The Hague kwa kuwanyanyasa wapinzani watafungwa wote uchunguzi utafanyika upya na kwa kuwa wale wenye mbinu za uchakachuaji watakuwa jela lazima ccm itashindwa kwenye uchunguzi na kwa mara ya kwanza Upinzani utaingia ikulu.
 
Mbinu pekeee ya kuwanyoosha ccm ni mahakama za kimataifa za haki za binadamu na vyama vya haki za binadamu pamoja na UN yafaa wapinzani waende huku wakawashitaki ccm kwa nguvu wote wakamatwe wafungwa kwa kushiriki vitendo vya kuwakomoa kuwabambikia kesi wapinzani kuwatuma watu Dodoma kwa Nissan nyeupe vyote vikipelekwa the hague hakika ccm itang’oka Kinyume na hapo ccm inaweza kutawala kwa mbinu za uchakachuaji mpaka mwaka 4000 hadi milele na milele .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…