Nini kifanyike kuisambaratisha CCM?

Hama nchi, ccm uliikuta inatawala na utaiacha inatawala
CCM imenikuta wala sijaikuta na siwezi kuhama nchi kwa sababu tu ya kuwa tofauti na chama cha siasa. Mauti yangu itanikuta Tanzania ama kwa mipango ya Mungu au kwa hila za Ibilisi Shetani!
 
CCM ina historia ya kumshinda mkoloni...sasa wewe muuza madafu unatarajia kuisambaratisha?
Mbona tayari tumeisambaratisha ! Kura mil 3.5 bado hujaamka tu ?

Kwa sasa ccm imeshikiliwa na kijiuzi kidogo sana kilicho mbioni kukatika kiitwacho madaraka .
 
Uzi mrefu but pointless
Kwa nini ni "Pointless"?

Halafu usipende kuchanganya lugha. kama unatumia lugha tofauti lazima uweke alama za fungua na funga semi kuonesha kwamba hiyo lugha haihusiani na ile ya awali uliyotumia.
 
Ccm haiwezi ikatishwa na vyama uchwara kama chadema, kama upinzani kumpata mgombea urais hadi atemwe na ccm ndio mpate [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Yani upinzani hawana mipango, dira.,then wanakuwa na ndoto ya kuishinda ccm. Naona kama mnasubiria meli airport
 
Kwa nini ni "Pointless"?

Halafu usipende kuchanganya lugha. kama unatumia lugha tofauti lazima uweke alama za fungua na funga semi kuonesha kwamba hiyo lugha haihusiani na ile ya awali uliyotumia.
Nikikuuliza dira ya chama chako sidhani kama unaweza kunijibu
 
Nikikuuliza dira ya chama chako sidhani kama unaweza kunijibu
Kwani huu uozo wote unaoikumba nchi yetu ni kwa sababu CHADEMA haina dira. Unataka kusema tuna watoto wanaosoma kidato cha pili hawajui kusoma wala kuandika vizuri kwa kuwa CHADEMA haina dira?

Mpaka leo watoto wetu wanakaa chini wakati wa kusoma na wale wenye madawati wanasoma darasa moja wakiwa zaidi ya mia moja (100) na shule zingine zina walimu wawili tu kwa kuwa CHADEMA haina dira?

Huko vijijini hakuna zahanati na kina mama wanajifungulia chini sakafuni kama mbuzi ni kwa kuwa CHADEMA haina dira?
 
Just ask my question what is a vision of chadema
 
Kuna gazeti la Tanzanite? Wanasema Membe anahujumu chama?
Lipo ila wameiga "logo" ya "Tanzania daima". Ndiyo inaonekana ni kama vile hofu ya urafiki wa Membe na mstaafu "anayewashwawashwa" imeanza kuwatia hofu!
 
Lipo ila wameiga "logo" ya "Tanzania daima". Ndiyo inaonekana ni kama vile hofu ya urafiki wa Membe na mstaafu "anayewashwawashwa" imeanza kuwatia hofu!
Membe alikuwa "mtu" wa Ben Saanane. Namuombea Mungu apate uwezo wa ama nia ya kutumia connections zake kuona Ben anapatikana.

Btw "mstaafu anayewashwawashwa" ndo Sumaye?
 
Chadema lazima ife kwanza kisha kizaliwe chama halisi cha upinzani.
 
Tume ndio inayoamuwa mshindi na siyo wapiga kura, wapiga kura wanajielewa sana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…