Dawa yao ni kueñdelea kuwarekodi tuKwa ufahamu wangu nimejiridhisha kwamba CCM ndiyo wanahusika wa anguko la jamii yetu watanzania. Kama kuna wizi na ufisadi chanzo ni wao, ukiona ubaguzi wa kikabila, kidini, kikanda,kivyama au kijinsia basi jua hao ni CCM.
Ukiona mfumo wa elimu unavurugwa, uchumi unaendeshwa shaghalabaghala, watumishi wa umma hawalipwi ipasavyo na haki zao zinavunjwa tena kwa vitisho jua chama ni CCM. Ukisikia watu vigeu geu kwenye kauli na matendo yao kwenye medani ya siasa jua ni CCM.
Ukisikia mwanasiasa kauawa kwenye siasa hawezi kuwa wa CCM ila alilkuwa anaipinga CCM. CCM ndiyo wanatamani vyombo vyetu vya dola viwe kama mwanasesere wa chama chao. Kwenye CCM Rushwa na upendeleo vimetamalaki.
Kila hasara ambayo tunaingia na kila mpango wa hovyo tunaufanya na kushindwa kiini kiko CCM. Mkurabita, BRN, na kila ujinga unaoangamiza taifa hili, mzimu wake uko CCM. Ni CCM ndiyo mchawi wa maendeleo ya taifa letu.
Ndani ya CCM hakuna anayewaza mema kwa ajili ya watanzania wote ila CCM huwatumia watanzania kwa maslahi yao binafsi na ya chama chao. Ukisia CCM unasema "maslahi ya Umma" ujue wanamaanisha maslahi ya chama chao.
CCM wanaposema "wananchi" jua wanamaanisha wale tu wanaokiunga mkono chama hicho. Kila siku CCM hutamani wawe wenyewe tu kwenye ulingo wa siasa za Tanzania, na bila shaka wanamlaani sana Mwalimu Nyerere kwa kukushinikiza kwake kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi.
Lakini kama wazalendo wa nchi yetu, ni nini kifanyike kukisambaratisha chama hiki ili nchi yetu ya Tanzania ibaki salama?
Mujini kunaongoza kwa kuikataa ccm.Hili wazo ni zuri sana, ingawa hata mijini bado wamejaa watu wanaoamini neema itakuja baada ya mwaka 2025, Kwa ivo wanaendelea kuivumilia CCM na kuisapoti!
Hii serikali haijawahi kuongozwa na CHADEMA na kila siku tunasikia viongozi wetu wakituhumiwa kuhongwa. Aliyejichukulia bilioni moja ya ununuzi wa Radar alikuwa ni CHADEMA ama CCM?Wangekuwa wasimamizi wa serikali wangehongwa na wazungu na kuuza nchi yote.
Mbona yule dada anawatia kiwewe kiasia hicho!?kwan mange kasemaje??
Mimi bado nipo kwenye issue ya wadiwani waliohongwa.Je kama wangekuwa serikalini wasingehongeka?Hii serikali haijawahi kuongozwa na CHADEMA na kila siku tunasikia viongozi wetu wakituhumiwa kuhongwa. Aliyejichukulia bilioni moja ya ununuzi wa Radar alikuwa ni CHADEMA ama CCM?
Kila ripoti ya nchi hii kuhusu ufisadi ni wana CCM peke yao wanaotajwa, Ule mkataba wa Buzwagi uliosaini Hotelini London nani alihongwa? Lile pande la dhahabu aliyepewe alikuwa ni CHADEMA na waliompa si wazungu ambao leo mnawaita wezi?
Hoja yangu ni kwamba hao wahongaji walikuwa ni wazungu ama ni CCM wenzenu? Yaani mhongaji anawezekanaje kuonekana yuko sahihi dhidi ya mhongwaji?Mimi bado nipo kwenye issue ya wadiwani waliohongwa.Je kama wangekuwa serikalini wasingehongeka?
Usiku huu tukafanye kazi gani wakati sisi si makahaba wala walinzi wa usiku, ama unataka tukawange!?Nawaona mmekosa kazi za kufanya nyie
CCM haiwezi kusambaratishwa na watu walioko nje yake.Kwa ufahamu wangu nimejiridhisha kwamba CCM ndiyo wanahusika wa anguko la jamii yetu watanzania. Kama kuna wizi na ufisadi chanzo ni wao, ukiona ubaguzi wa kikabila, kidini, kikanda,kivyama au kijinsia basi jua hao ni CCM.
Ukiona mfumo wa elimu unavurugwa, uchumi unaendeshwa shaghalabaghala, watumishi wa umma hawalipwi ipasavyo na haki zao zinavunjwa tena kwa vitisho jua chama ni CCM. Ukisikia watu vigeu geu kwenye kauli na matendo yao kwenye medani ya siasa jua ni CCM.
Ukisikia mwanasiasa kauawa kwenye siasa hawezi kuwa wa CCM ila alilkuwa anaipinga CCM. CCM ndiyo wanatamani vyombo vyetu vya dola viwe kama mwanasesere wa chama chao. Kwenye CCM Rushwa na upendeleo vimetamalaki.
Kila hasara ambayo tunaingia na kila mpango wa hovyo tunaufanya na kushindwa kiini kiko CCM. Mkurabita, BRN, na kila ujinga unaoangamiza taifa hili, mzimu wake uko CCM. Ni CCM ndiyo mchawi wa maendeleo ya taifa letu.
Ndani ya CCM hakuna anayewaza mema kwa ajili ya watanzania wote ila CCM huwatumia watanzania kwa maslahi yao binafsi na ya chama chao. Ukisia CCM unasema "maslahi ya Umma" ujue wanamaanisha maslahi ya chama chao.
CCM wanaposema "wananchi" jua wanamaanisha wale tu wanaokiunga mkono chama hicho. Kila siku CCM hutamani wawe wenyewe tu kwenye ulingo wa siasa za Tanzania, na bila shaka wanamlaani sana Mwalimu Nyerere kwa kukushinikiza kwake kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi.
Lakini kama wazalendo wa nchi yetu, ni nini kifanyike kukisambaratisha chama hiki ili nchi yetu ya Tanzania ibaki salama?
Hama nchi, ccm uliikuta inatawala na utaiacha inatawalaKwa ufahamu wangu nimejiridhisha kwamba CCM ndiyo wanahusika wa anguko la jamii yetu watanzania. Kama kuna wizi na ufisadi chanzo ni wao, ukiona ubaguzi wa kikabila, kidini, kikanda,kivyama au kijinsia basi jua hao ni CCM.
Ukiona mfumo wa elimu unavurugwa, uchumi unaendeshwa shaghalabaghala, watumishi wa umma hawalipwi ipasavyo na haki zao zinavunjwa tena kwa vitisho jua chama ni CCM. Ukisikia watu vigeu geu kwenye kauli na matendo yao kwenye medani ya siasa jua ni CCM.
Ukisikia mwanasiasa kauawa kwenye siasa hawezi kuwa wa CCM ila alilkuwa anaipinga CCM. CCM ndiyo wanatamani vyombo vyetu vya dola viwe kama mwanasesere wa chama chao. Kwenye CCM Rushwa na upendeleo vimetamalaki.
Kila hasara ambayo tunaingia na kila mpango wa hovyo tunaufanya na kushindwa kiini kiko CCM. Mkurabita, BRN, na kila ujinga unaoangamiza taifa hili, mzimu wake uko CCM. Ni CCM ndiyo mchawi wa maendeleo ya taifa letu.
Ndani ya CCM hakuna anayewaza mema kwa ajili ya watanzania wote ila CCM huwatumia watanzania kwa maslahi yao binafsi na ya chama chao. Ukisia CCM unasema "maslahi ya Umma" ujue wanamaanisha maslahi ya chama chao.
CCM wanaposema "wananchi" jua wanamaanisha wale tu wanaokiunga mkono chama hicho. Kila siku CCM hutamani wawe wenyewe tu kwenye ulingo wa siasa za Tanzania, na bila shaka wanamlaani sana Mwalimu Nyerere kwa kukushinikiza kwake kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi.
Lakini kama wazalendo wa nchi yetu, ni nini kifanyike kukisambaratisha chama hiki ili nchi yetu ya Tanzania ibaki salama?
Kwa ivo haiwezekani kuwa nje ya CCM na kuweza kuisambaratisha. Kwa nini?CCM haiwezi kusambaratishwa na watu walioko nje yake.