Nini kazi za Waziri na Naibu Waziri?

best5

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
202
70
Wadau
Naombeni kwa wanaofahamu majukumu na kazi za mawaziri na manaibu mawaziri wao na je inahusiana vipi na taaluma zao?

Mfano huyu naibu waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano nimeangalia CV yake ni mhandisi katika sekta ya madini Engineer Edwin Ngonyani.

Au ni kigezo kipi kimepelekea kuchaguliwa kuwa naibu waziri...na wengine pia wapo wengi taaluma zao zinakua tofauti kabsa na wizara wanazoziongoza
anawezaje kupata hata idea za kubuni vitu vipya katika wizara


Hon. Eng. Edwin Amandus Ngonyani

Member Type : Constituent Member

Constituent : Namtumbo

Political Party : CCM

Phone : +255754466108

P.O Box : P.O.Box 51, Namtumbo

Email Address : a.edwin@bunge.go.tz

Date of Birth : 1959-09-29

Education History :

School Name/Location Course/Degree/Award From To Level
Exeter University (UK) Masters of Science 1992 1993 Masters Degree
Zambia University B.Minerals Science 1982 1987 Bachelor
Kigonsera Secondary School CSEE 1975 1978 Secondary School
Azania Secondary School ACSEE 1979 1981 Secondary School
Mbimbi Primary School - 1967 1970 Primary School
Namabengo Primary School CPEE 1971 1974 Primary School

Employment History :

Company/Institution Position From To
STAMICO Managing Director 2015 2015
STAMICO Acting Managing Director 2014 2015
Ministry of Energy and Minerals Asst.Comm. Mines Inspector 2009 2014
Ministry of Energy and Minerals Chief Inspector of Mines 2008 2014
Ministry of Energy and Minerals Principal Mines Engineer 2007 2009
Ministry of Energy and Minerals Zonal Mines Officer, CWZ 2002 2007
Ministry of Energy and Minerals Inspector of Mines and Explosives 2002 2007
Ministry of Energy and Minerals Senior Mines Engineer 2000 2007
Ministry of Energy and Minerals Mines Engineer I 1998 2000
Ministry of Energy and Minerals Mines Engineer II 1991 1998
Ministry of Energy and Minerals Inspector of Explosives 1987 2002
Ministry of Energy and Minerals Mines Engineer III 1987 1991

Political Experience :

Political Party Position From To
Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2015 2020
Ministry of Works, Transport and Communication Deputy Minister 2015 Todate

Chanzo: Parliament of Tanzania websitehttp://www.parliament.go.tz/administrations/406
 
Waziri au naibu Waziri si lazima asimamie wizara ambayo ana utaalamu nayo japo ni vizuri ila katibu mkuu wa wizara ndio lazima aijue wizara na awe na utaalamu sambamba na wizara kwani ndio Mtendaji mkuu wa wizara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom