Handsome boy 1
Senior Member
- Jun 2, 2021
- 105
- 142
1.Kukosa hofu ya Mungu(both Me &Ke)Kumekuwa na wimbi la usaliti sana siku hizi na tumekuwa tukishuhudia visa hata humu JF kuhusu usaliti na kuachana kwa wanandoa wachumba au wapenzi sababu ni nyingi sana lkn unavyoona wewe sababu kuu hasa inaweza kuwa nini?
ulikosa mume wewe naonaNdoa haikupaswa kuwepo, binadamu tumejitengenezea jela yetu wenyewe.
niko vizuri kwenye kuandika lakini mwandiko wangu naweza kuuusoma mwenyewe japo wakati mwengine natatizika vile vileKila ndoa iliyovunjika ina sababu zake tofauti labda kila aliyeamua kuvunja ndoa yake ndo aseme sababu na uzuri Madame S ashajiandaa kuchukua notes chukua soft copy ndo nzuriπππππ
Njoo uwe mke wa pili nitaridhia.ulikosa mume wewe naona
Ndoa haikupaswa kuwepo, binadamu tumejitengenezea jela yetu wenyewe.
Tupuyange Kama wanyama ingependeza, wivu usingekuwepo. Matatizo mengi humu duniani yanasababishwa na mapenzi ya ubinafsi..eti kama ni wako ni wako tu, kiuhalisia hatuwezi.πππππ tulitakiwa tupuyange tu kama wanyama vile au tufanye kama South Africa KE mmoja anaweza kuolewa na ME wa idadi atakayo mradi yeye mwenyewe na ME wameridhia π€£π€£
hata msoma taarifa ya habari kaona kituko hahahahahaha