Nini huwa sababu kuu za kuachwa au kusalitiwa na mpenzi, mchumba au mke wa ndoa?

Zoezi la kutongoza na kutongozwa siku hizi limekuwa rahisi mno thanks 🙏🏾 to smart phones. Pia watu wake kwa waume hawana hofu tena kama wazazi wetu walivyokuwa na hofu. Siku hizi ME na KE wanaweza kujua yule mke wa mtu au mume wa mtu lakini wanashupaza shingo tu kutaka kunyanduana hakuna woga tena ahhhh! yule bidada mke wa mtu ngoja nicheze naye mbali au yule bwana Kaka ananitaka sana lakini mume wa mtu yule naogopa mie! 😜😜😜
Kumekuwa na wimbi la usaliti sana siku hizi na tumekuwa tukishuhudia visa hata humu JF kuhusu usaliti na kuachana kwa wanandoa wachumba au wapenzi sababu ni nyingi sana lkn unavyoona wewe sababu kuu hasa inaweza kuwa nini?
 
Tupuyange Kama wanyama ingependeza, wivu usingekuwepo. Matatizo mengi humu duniani yanasababishwa na mapenzi ya ubinafsi..eti kama ni wako ni wako tu, kiuhalisia hatuwezi.
Njoo tupuyange basi mi na wewe 😍
 
Fumbo la Imani
LITABAKI BILA DIRA YA MATARAJIO MAKUU YA YATARAJIWAYO.

Hivyo basi ukiona mtu kaachana na mtu aliyekuwa keshaiweka wazi jamii kuhusu mahusiano yao, mara zote sababu ni kushindwa kujua mbele (future) ya mtu. Physiological factors humzuia mtu mapema hata kuiweka wazi jamii.
 
Kumekuwa na wimbi la usaliti sana siku hizi na tumekuwa tukishuhudia visa hata humu JF kuhusu usaliti na kuachana kwa wanandoa wachumba au wapenzi sababu ni nyingi sana lkn unavyoona wewe sababu kuu hasa inaweza kuwa nini?
Jaribu kuoa mmoja kati ya hawa wanawake (Wema Sepetu, Kajala, Hamisa Mobetto, Giggy Money, Aunt Ezekiel) kisha rudi hapa baada ya wiki tu uje utupe ukweli wako
 
Kumekuwa na wimbi la usaliti sana siku hizi na tumekuwa tukishuhudia visa hata humu JF kuhusu usaliti na kuachana kwa wanandoa wachumba au wapenzi sababu ni nyingi sana lkn unavyoona wewe sababu kuu hasa inaweza kuwa nini?
Ni huo huo usaliti tu, unakuta mwanamme hana nguvu za kiume na hadindishi, au kama ni mwanamme wa Dar basi anafilwa japo kaoa. Hakuna la ziada hapo.....wewe unafikiriaje?
 
Hii sababu ya kuridhika kimapenzi pia ni tishio mana unakuwa na mtu af hisia zake zipo kwingine

Hili nitatizo kubwa na kuwadi mkuu ni tamaa za sifa za nje na kupuuza Tabia za msingi.

Wakifika chumbani....... total failure
 
daaaa aisee hii nayo kazi
Unawashangaa wanaume wa Dar, we umeona wapi mtu anaona fahari kutunzwa na mwanamme mwenzake huku akijisifia tena mbele ya mkewe? Wanaume wa Dar wana matatizo ya kiakili, hapa namsikiliza Musa Kipanya kwenye redio (EFM - Joto la Asubuhi) anasema anataka kujizungusha leo hii ili apewe hela na mwanamme mwenzake akavinjari, fikiria mwanamme anafikiria kupewa offer na kuhongwa anaona sifa.
 
Back
Top Bottom