Nini hutoa baada ya mtu kuzikwa

Nini hutoa baada ya mtu kuzikwa

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,194
Reaction score
3,959
Siku ya 3 - kucha huanza kuanguka /kutoka mikono na miguu

Siku ya 4- Nywele huanza kutengana na fuvu la kichwa.

Siku ya 5- ubongo huanza kuyeyuka na wadudu huanza kula

Siku ya 6- Ngozi huanza kuwa nyeusi tii na kuanza kuchubuka

Siku ya 7- Tumbo huanza kuyeyuka kutokea mdomoni na sehemu za siri huanza kutoa harufu kali sana.

Siku ya 60 - Mwili wote unakuwa tayari umetafunwa na vidudu na kubaki mifupa tu.
Ni mwisho wa

Dharau zako.

Kiburi chako.

Majivuno yako.

Chuki zako.

Tamaa zako.
 
Siku ya 3 - kucha huanza kuanguka /kutoka mikono na miguu

Siku ya 4- Nywele huanza kutengana na fuvu la kichwa.
Siku ya 5- ubongo huanza kuyeyuka na wadudu huanza kula
Siku ya 6- Ngozi huanza kuwa nyeusi tii na kuanza kuchubuka
Siku ya 7- Tumbo huanza kuyeyuka kutokea mdomoni na sehemu za siri huanza kutoa harufu kali sana.
Siku ya 60 - Mwili wote unakuwa tayari umetafunwa na vidudu na kubaki mifupa tu.
Ni mwisho wa
DHARAU ZAKO.
KIBURI CHAKO.
MAJIVUNO YAKO.
CHUKI ZAKO.
TAMAA ZAKO.
Mkuu....
Ungemtaja mgombea wa chama ambae huu ujumbe unamuhusu, maana unazunguka saaana...🙃
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom