Nini husababisha mtu kutafuna meno?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,733
26,869
Wakuu kumekucha poleni na shughuli,

Hivi wakuu naomba kuuliza hivi ni ugonjwa gani unamfanyavmtu kutafuna meno kwa nguvu hadi yanatoa mlio kama ule wa yale wadudu wanaopekecha ma canch au mapaavya nyumba. Yaani ukikutana na mtu anatafuna meno unasikia ntriii! ntriiiii!

Hivi hii huwa vinasababishwa na nini?
 
Back
Top Bottom