Nini husababisha harufu mbaya ya Uke kudumu kwa muda mrefu kwa mwanaume aliyelala nae?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,212
Madaktari tafadhalini naomba huu msaada wenu wa haraka kwani sasa ni Wiki ya pili hii ' inatiririka ' nililala la Mwanamke mmoja hivi ambaye kusema ukweli Mnyange ( Mrembo ) wa kweli nadhani hata angekuwa ' anashiriki ' Miss Tanzania kila mwaka angeibuka tu Yeye Mshindi ila nilichokuja kukikuta Kwake ni ' harufu ' moja ' mbaya ' iliyokuwa inatoka kuna Ukeni / Mbunyeni Kwake ambayo hadi hivi sasa ' naserereka ' kuandika huu ' uzi ' Kwenu hii harufu ninayo na haitaki kunitoka mwilini Kwangu.

Nikipata msaada wenu wa majibu ya nini husababisha hiyo ' harufu ' kali na tiba yake ni nini nitawashukuruni sana Madaktari mliopo humu kwani najijua mwenyewe nilivyo na ' bahati ' ya kukutana na Wanawake ' wanukao ' Mbunye / Uke hivyo ufafanuzi wenu utanisaidia pindi nikikutana na mwingine.

Haiwezekani Mtu nimelala / nimebanduana nae sasa takribani wiki mbili zimepita na natumia kila aina ya Sabuni na hata ' udi ' najifukiza tu lakini kile ' kiharufu ' kibaya na cha ' karaha ' cha Mbunye / Uke bado tu kinaniandama. Kinanikosesha sana amani!

Nawasilisha.
 
Hahahah hiyo ni saikolojia yako tu si kwamba bado harufu ipo ila kwa jinsi ulivyokereka na kujisikia vibaya sababu ya hiyo harufu ndiyo maana imekukaa muda mrefu
 
Mmmmmh mbona hata nikiwa ' usingizini ' kabisa hii harufu kuna wakati huwa naisikia au naiota? au labda Yule Demu alikuwa ni Jini?
 
Tuwaheshimu wanawake jamani, hao ni mama zetu, dada zetu, wapenzi wetu na mapumziko yetu, with due respect, mwambie politely, nendeni wote hospitali au veterinary (hospitali ya wanyama) mkatibiwe mmekwisha ambukizana.

Sasa unaandika kuhusu heshima halafu unamalizia na dharau...duh!!!

Mwanamke ambaye ana hili tatizo atasoma hapa na kujisaidia, wengi hawajui kuhusu usafi wa huko.
 
Ukijibiwa nami ntakua nimejibiwa.. Asante mleta uzi

Kumbe ' tunaonukia ' Mbunye tupo wengi hivi? Jamani Madaktari mliopo humu JF hebu njooni basi ' mtiririke ' na ' mserereke ' kwa majibu yenu kwani wengine hata Watoto wetu sasa wameshaanza ' kutugwaya ' kuja kutusogelea kwani lada hata Wao wameshaanza kukisia ' Kipafyumu ' kibaya cha Mbunye kilichotuganda.
 
Sasa unaandika kuhusu heshima halafu unamalizia na dharau...duh!!!

Mwanamke ambaye ana hili tatizo atasoma hapa na kujisaidia, wengi hawajui kuhusu usafi wa huko.
With due respect, haukuielewa? Sometimes magonjwa mengine yanatibika hospitali za kawaida na mengine hospitali za wanyama. Hivyo nimesema bila kuathiri heshima niliyoionyesha hapo mwanza. Kwa uwazi tu si kwa nia mbaya.
 
Tuwaheshimu wanawake jamani, hao ni mama zetu, dada zetu, wapenzi wetu na mapumziko yetu, with due respect, mwambie politely, nendeni wote hospitali au veterinary (hospitali ya wanyama) mkatibiwe mmekwisha ambukizana.
Elewa jamaa yuko na madaktari amejisalimisha hapa.. Kwahiyo sio kwamba anamuaibisha mwanamke, bali anaeleza matatizo yalimpata wamsaidie... Yuko hospitalin hapa ujue!
 
With due respect, haukuielewa? Sometimes magonjwa mengine yanatibika hospitali za kawaida na mengine hospitali za wanyama. Hivyo nimesema bila kuathiri heshima niliyoionyesha hapo mwanza. Kwa uwazi tu si kwa nia mbaya.

Sasa uliposema kuwa tuwaheshimu Wanawake au Mama zetu ulikuwa na maana gani? au unadhani Mimi kuanzisha huu ' uzi ' sina Heshima nao? Hivi unajua ' Faida ' kubwa ambayo itatokana na Mimi kuuanzisha huu uzi Mkuu? Tena yawezekana Mimi ndiyo nikawa nawaheshimu sana Wanawake kuliko Wewe ambaye yawezekana ukawa unawaheshimu tu Kimaandishi hapa hapa Kiuhalisia unawachukia na hata kuwadhihaki.
 
kiongozi, harufu mbaya kwenye uke siyo jambo la kawaida, kama huyo dada ni mpenzi wako ulipaswa kuchukua hatua immediate kumwambia na kwenda naye hospitali. Sina nia ya kutokubali kwamba humu ndani kuna madaktari, lakini hakuna tiba ya uhakika inayoweza kupatikana bila ya kufanya diagnosis. Hivyo basi, kwa mtizamo mpana kidogo hatua hii uliyoichukua inaweza kutazamwa kama vile innuendo (yaani kumkebehi mtu indirectly). Kabinti ka watu ambacho kanaweza kushinda miss- Tanzania pamoja na wenzake wa aina hiyo wanaingia kwenye kashfa nzito ya kunuka sehemu zao za uzazi. Ni mtazamo tu, ila nashukuru kama una waheshimu akina mama na dada zetu.
 
Back
Top Bottom