Nini husababisha baridi?

MACHALE

Senior Member
May 22, 2016
163
53
Wasalamu vingozi wangu.

Naombeni kuuliza jee nini husababisha baridi??.

Nikwanini sehemu zenye miinuko mikubwa ndio kuwe na baridiKali ilihali sehemu hizo kimsingi zipo juu na huko juu ndiko lilipo jua??.
 
b81ca0230ff346a6d347f591b10e4d4d.jpg

nakumbuka nliwahi kuuliza hili swali plaimali mwalimu akakosa jibu akasema nisubiri kesho.
Sababu ya sehemu za ukanda wa juu kuwa na baridi zaidi ni kutokana na hewa yake(air molecules) kuwa na pressure ndogo hivyo kutokuwa na uwezo wa kuhifadhi joto,ilhali kwenye ukanda wa usawa wa bahari molekyuli za hewaa huwa na pressure kubwa na hivyo kuweza kuhifadhi joto kwa kiasi kikubwa.
 
Wewe kweli ni kilaza wa jiografia km umemaliza angalau elimu ya msingi hutakiwi kuuliza swali hili otherwise ukili wewe ni BRN.

Unajua kuna mambo tunayaona na kuyapuuzia ila madhara yake ndiyo km haya..!
 
Asante sana kiongozi wangu.

aloe kweli ni kilaza wa jiografia km umemaliza angalau elimu ya msingi hutakiwi kuuliza swali hili otherwise ukili wewe ni BRN.

Unajua kuna mambo tunayaona na kuyapuuzia ila madhara yake ndiyo km haya..!
Haha mkuu nitakuwa mnufaika wa elimu ya bure ila alielijibu amesema mwalimu wake wa msingi aliwahi kulikimbia swali hili sasa sijui una mzungumziaje Huyo mwalimu??
 
Wewe kweli ni kilaza wa jiografia km umemaliza angalau elimu ya msingi hutakiwi kuuliza swali hili otherwise ukili wewe ni BRN.

Unajua kuna mambo tunayaona na kuyapuuzia ila madhara yake ndiyo km haya..!

Tunaomba jibu kiongozi, mbona umeishia hewani? Kweli wewe ndo......?! ¥€$
 
......."nakumbuka nliwahi kuuliza hili swali..........plaimali !!!! ???????....mwalimu akakosa jibu akasema nisubiri kesho"...........
 
It's really a matter of geographical contest point of view. Whereby there are indulgences forces of nature which in uttermost containment of atmospheric pressure. In that sense when it's cold in arusha in Europe is warm due to the changing altitude of the sun.

Hope have helped you bro
 
Kutokana na jua kuwa Kali unapolikaribia ndiyo Mungu akaweka mfumo wa refrigeration ili kupoza hewa unapokuwa angani, Mungu alikuwa na lengo la kuwalinda viumbe wake kama ndege wanyama, na ndege za binadamu
 
Back
Top Bottom