Original wimbo ulikuwa unaitwa I love you diamond alishirikishwa na huyo msanii wa Namibia na wimbo ulitoka uko YouTube miezi 2 iliyopita
Alichofanya Diamond Ni kufuta verse ya huyo msanii na kuweka mashairi yake na kuimba wimbo mzima peke yake na kutoa Leo asubuhi Kama wimbo wake rasmi.
Apo unaona mashabiki wa Namibia wamemaindi