Salaam, Ndugu zangu nilikuwa nataka kujua kisheria mbunge ambaye amefunguliwa kesi ya kupinga matokeo anaendelea kuwa muwakilishi wa wananchi au jimbo linakuwa halina muwakilishi hadi kesi itakapoisha. Naombeni wenye ufahamu watujuze.