Alfu Lela Ulela
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,255
- 77
Unataka agombee mara ngapi?Kwani atagombea?!
Atakaa kama raia wengine na kumheshimu aliyechaguliwa.
Tatizo ni kwamba mtu akipatwa na obsession kama aliyonayo EL sasa, anaishia kuwa kipofu. Otherwise engemtembelea Mitt Romney ili asikie kutoka kwenye mdomo wa farasi!
EL sio mchafu sana kama watu wanavyofikiria ingawa mimi simkubali...kitakacho msafisha mwisho wa siku ni kusema ukweli mengi tutayasikia tusubiri tu 2015
Justice delayed is justice denied. Kama kuna ukweli wowote anaotaka kuusema, ameshindwa nini kufanya hivyo hadi maelfu ya watanzania wamepoteza kutoka a ufisadi wa serikali ambayo ameendelea kuitunzia siri hadi sasa?
Na wenzake wakimgeuzia kibao kuwa ni political card atajibu nini?
EL hana kitu cha kumwokoa zaidi ya pesa zake na ndiyo maana kilio chake hakitakuwa tofauti na cha Mitt Romney!
Kama hasemi sasa, anasubiri uchaguzi ufike, ndipo aseme, afadhali akae tu kimya.... utakuwa unafiki kama wengi waliosema wanafahamu a, b, c... alafu hawasemi hata A tuEL sio mchafu sana kama watu wanavyofikiria ingawa mimi simkubali...kitakacho msafisha mwisho wa siku ni kusema ukweli mengi tutayasikia tusubiri tu 2015