Nini hatma ya CCM baada ya Rostam...

Tutafakari mambo makubwa yaliyotukia dhidi ya serikali/CCM members baada ya huyu mtu kuachia ngazi.
Hivi ni hakuna uwezekano ameshatega mabomu na sasa analipua moja baada ya jingine kwa remote? Msaada Igunga atatoa?
Majibu haya yatatoa picha nzuri ya mwelekeo wa mada hii!
 
Back
Top Bottom