ukienda kule MMU unakuta watu kibao wanazishambulia hoja za kiboya boya na kuzijaza kabisaa ..huku wanapakimbia kama kituo cha policeMada hizi wenye akili ndogo huwa hatuonekani..! Thread imeletwa toka jana inaanza kuchangiwa leo..! [emoji39][emoji39][emoji39]
umeshindwa kupangilia hoja.mnamo mwaka 1988,mwanasayansi maarufu na nguli wa elimu ya mathematics,physics,astronomy and cosmology anae kwenda kwa jina la Stephen Hawkins aliandika kitabu kiitwacho "a brief history in time from the big bang to hte black holes" kitabu hichi kilileta tafrani miongoni mwa wanadini wengi ulimwenguni kote.Ndani ya kitabu hichi professor Stephen Hawkins alijaribu kuelezea sayansi ngumu ya anga kwa lugha ambayo mtu wa kawaida kabisa angeweza kuelewa,akielezea big bang,supernovas, na black holes.Hawkins made a bold conclusion that the creation of the universe simply did not require any divine intervention or supernatural power.He suggested it was just the laws of nature.Hili suala lilileta mvutano mkubwa miongoni mwa wanadini wakisema mwanasayansi hapswi kuzungumza kuhusu Mungu,Hawkins alirespond kwa kusema
" asking if God exists is avalid question for science,infact he can't think of a more fundamental and important questionas such".Tukiachana na hilo lililonifanya niandike thread hii ni kile alichosema soon scientists will discover the theory of everything and in that theory hakuta kuwa na haja ya kumuhusisha Mungu kuelezea the creation of the universe.
Swali langu nini itakuwa hatima ya dini baada ya hapo?
what will be the fate of oour religion?
Mkuu theory nadhani unaijua vizuri maana yake its just a proposal that not scientifally approved that means it take a time theory becoming lawsmnamo mwaka 1988,mwanasayansi maarufu na nguli wa elimu ya mathematics,physics,astronomy and cosmology anae kwenda kwa jina la Stephen Hawkins aliandika kitabu kiitwacho "a brief history in time from the big bang to hte black holes" kitabu hichi kilileta tafrani miongoni mwa wanadini wengi ulimwenguni kote.Ndani ya kitabu hichi professor Stephen Hawkins alijaribu kuelezea sayansi ngumu ya anga kwa lugha ambayo mtu wa kawaida kabisa angeweza kuelewa,akielezea big bang,supernovas, na black holes.Hawkins made a bold conclusion that the creation of the universe simply did not require any divine intervention or supernatural power.He suggested it was just the laws of nature.Hili suala lilileta mvutano mkubwa miongoni mwa wanadini wakisema mwanasayansi hapswi kuzungumza kuhusu Mungu,Hawkins alirespond kwa kusema
" asking if God exists is avalid question for science,infact he can't think of a more fundamental and important questionas such".Tukiachana na hilo lililonifanya niandike thread hii ni kile alichosema soon scientists will discover the theory of everything and in that theory hakuta kuwa na haja ya kumuhusisha Mungu kuelezea the creation of the universe.
Swali langu nini itakuwa hatima ya dini baada ya hapo?
what will be the fate of oour religion?
Watu wataujua ukwelimnamo mwaka 1988,mwanasayansi maarufu na nguli wa elimu ya mathematics,physics,astronomy and cosmology anae kwenda kwa jina la Stephen Hawkins aliandika kitabu kiitwacho "a brief history in time from the big bang to hte black holes" kitabu hichi kilileta tafrani miongoni mwa wanadini wengi ulimwenguni kote.Ndani ya kitabu hichi professor Stephen Hawkins alijaribu kuelezea sayansi ngumu ya anga kwa lugha ambayo mtu wa kawaida kabisa angeweza kuelewa,akielezea big bang,supernovas, na black holes.Hawkins made a bold conclusion that the creation of the universe simply did not require any divine intervention or supernatural power.He suggested it was just the laws of nature.Hili suala lilileta mvutano mkubwa miongoni mwa wanadini wakisema mwanasayansi hapswi kuzungumza kuhusu Mungu,Hawkins alirespond kwa kusema
" asking if God exists is avalid question for science,infact he can't think of a more fundamental and important questionas such".Tukiachana na hilo lililonifanya niandike thread hii ni kile alichosema soon scientists will discover the theory of everything and in that theory hakuta kuwa na haja ya kumuhusisha Mungu kuelezea the creation of the universe.
Swali langu nini itakuwa hatima ya dini baada ya hapo?
what will be the fate of oour religion?
Kwani uwepo wa mungu ulitokea wapi?Haya umesema kama kuna big bang hebu niambye the origin of matter,where does it come from?
Tutaishi maisha halisi na tutaishi milele[emoji1] [emoji1]Watu wataujua ukweli
Hivyo wataacha kuabudu maana kuabudu ni umbumbumbu wa hali ya mwisho wa mtu kushindwa kujiajua.
Wataanza kujitengezea maisha hapa hapa duniani huku wakiwa wabunifu kwa kuhakikisha wanatengeneza vitu kwanza Ndio wanawaza.
Haya maisha magumu hayatakauwepo tena maana ujinga utatutoka tutaishi maishi halisi yanayohitajika
Maisha halisi sio milele. Maisha halisi ni maisha ambayo hayajatengenezwa na wala huhitaji kufundishwa ili uishi.Tutaishi maisha halisi na tutaishi milele[emoji1] [emoji1]