Nini hasa sababu ya Iran kutaka kufunga strait of hormuz?

Thanks kwa majibu yako mazuri,but why us na urusi wanayo kwa miaka dahari,na hatusemi chochote bali kuwaachia wao wakubaliane!, ukisoma historia on how Israel aliweza kuwa na silaha hizo utashangaa sana why us hakutumia nguvu anazozitumia Leo kumzuia Iran na hakuzitumia kwa Israel. Ushauri wangu ACHA IRAN WAVUTANE na WAKUBWA there is something we can learn. Eg. Kwa sasa nimejifunza Iran is among the super military powers of the world!
 
Nini maoni yako kuhusu Iran kuufunga mlangi bahari wa Hormuz??? Naona watu mnalalamika tu bila kutoa maelezo yenu!!!!
Kamanda Iran kufunga Hormoz ni sawa tu, we unataka oil yake isiuzwe nawengine wapitishe mbele ya macho yake.

Kuwacha wengine wauze oil na yeye asiuze, huo utakuwa ujinga na we kama unadhani Iran wajinga na hawana uwezo wa kuzuia, basi bora tukukabidhi ujinga wewe.
 
Naona lile likitabu lenu lishakudhuru kabisa!!!
 
Tz hatuna wataalam hata wa kuichimba tyu hiyo uranium yenyewe.
Kingine bro watu wengine sio wababe na wakorofi kama USA.
NAONA USA NDIO ANGEZUILIWA KUWA NA ATOMIC BOMBS MAANA ALISHAWAHI YATUMIA.
LAKINI N.K HAKUWAHI LETA BALAA LOLOTE WALA IRAN.
HUYO USA NDIO MATATIZO
 
Mkuu kuhusu eneo la Jerusalem kihistoria hata ktk mafundisho ya dini yetu ni eneo la Palestine.
Na Msikiti wa Alaqsa ulijengwa toka enzi za mfalme Suleiman mkuu ambae alikuwa mfalme wa Palestine.
Asa sijui hapo nan ana haki na ile eneo
 
Unakosea mkuu.
Palestine ilikuepo toka enzi na enzi mkuu.
 
Hapana c kweli, wale walio tawala siku za nyuma, walikuwa na tawaliwa kwa kuwa walikuwa hawana viongozi wakuwaongoza, na ule ujinga ulitawala.

Kwa sasa bora tupumzike na ujinga huo, hakuna wajinga tena duniani, yani Marekani asitufanye cc wajinga.
Una uhakika kwamba maeneo yaliyovamiwa na kutawaliwa kinguvu na raia kuteswa na kuuawa na wengine kugeuzwa watumwa hayakuwa na viongozi wa kuwaongoza?

Unafahamu historia kuhusu tawala zenye nguvu zilizokuwepo hapo zamani kama vile, Mongol Empire katika karne ya 13 na kuendelea kipindi cha Ghengis Khan? Je, maeneo waliyoyavamia na kuyateka hayakuwa na viongozi wa kuwaongoza?

Maeneo yaliovamiwa yalikuwa na tawala zao na majeshi yao. Zilikuwa ni Empires zilizokamilika, ambapo zilipovamiwa majeshi yao yalipigwa na raia wake waliteswa na kudhalilishwa na idadi kubwa sana kuuawa hasa yale maeneo yaliokataa kujisalimisha.

Toka kipindi hicho mpaka sasa ni vizazi vingi vimepita, na uhasama wa aina hiyo umekuwepo na utaendelea kuwepo na kuitafuna Dunia hata kama nguvu ya Marekani itapungua na kuisha. Dunia haijawahi na haitowahi kuwa salama sana.
 
Hili suala siyo la kuombea litokee ,kiuchumi tutaingia katika mgogoro mkubwa sana.

Mfumuko wa Bei kwa bidhaa na huduma mbalimbali utaibuka kwa kasi sana.

Pale Hormuz ndiyo kila kitu,Meli zipitazo pale ni nyingi,mgogoro ukianza nani atapitisha Meli yake pale tena.

Hili suala lazima liangaliwe kwa upana hakuna mshindi katika hili, wote tutaumia makali ya maisha yaliyopo sasa ongeza na bei ya Mafuta ipande.

Ni vizuri Busara itumike katika kutatua huu Mzozo.
 
Uko sawa kabisa nimekubaliana na insight yako.
 
Mimi siipendi marekani ' ---Lakini katika upande 1 wapo sahihi ' kwa sababu wana fuata desturi ya maisha ya ulimwengu yanavyo taka kuwa '

System ya maisha Ina Wataka au walazimu watu tu ishi katika system ya wata wala na wata waliwa .... Hivyo basi ili mtu/jamii ya watu fulani Iweze kuwa watawala ni lazima ihakikishe ina waminya wengine ili upate Kane uweze kano wa watu hao wanaonyimwa waweze kuwa watawaliwa ...Ni lazima mtawala ahakikishe anafanya kila jitihada zenye kila mbinu za ukweli na uongo ili Aweze kuyalinda maslahi ya utawala wake ..... so hapo mtawala hulazimika kutoka nje ya taifa lake na kwenda kuzi vamia baadhi ya nchi iwe kijeshi au kwa mbinu za kisiasa ili aweze kuipatia rasilimali zitakazo weza kumpush kiuchumi na kuendelea kumfanya azidi kuwa mtawala ...

So hii sio kwa USA tu. ... nchi zote ambazo zime wahi kuwa super power zime wahi kuishi katika mkakati huu na hivi ndivyo jinsi ambavyo maisha yalivyo ......duniani sio mahali salama tangu kuumbwa kwake binaadamu wanagombania madaraka
 
Unakusudia hii haidhuru kabisa ukiisikiliza au kuisoma moyo wako unakuwa baridiii.

Na hakuna raha kama kutega skio lako nakusikiliza vizuri, utanipa jibu.

Looooo!!!!Miaka yote hiyo imepita bado tu ugonjwa huo unao!!!pole sana maana hata naogopa kukutana na we we cause waweza kujitoa mhanga ukanikosesha raha ya dunia!!
 
Looooo!!!!Miaka yote hiyo imepita bado tu ugonjwa huo unao!!!pole sana maana hata naogopa kukutana na we we cause waweza kujitoa mhanga ukanikosesha raha ya dunia!!
Wacha hizo wewe hakuna wakujitoa mhanga akawa muislam, huyo atakuwa kafana tu na mafunzo yenu.

Sa we c unde kuwasaidia USA kulinda tank za mafuta.

Lakini Iran wanaume washoka hebu ona kilicho zamia kwenye mnofu wa 200 million$

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…