The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 18,158
- 51,086
Sawa binti,hujambo lakini?Hater
Sawa binti,hujambo lakini?Hater
Thanks kwa majibu yako mazuri,but why us na urusi wanayo kwa miaka dahari,na hatusemi chochote bali kuwaachia wao wakubaliane!, ukisoma historia on how Israel aliweza kuwa na silaha hizo utashangaa sana why us hakutumia nguvu anazozitumia Leo kumzuia Iran na hakuzitumia kwa Israel. Ushauri wangu ACHA IRAN WAVUTANE na WAKUBWA there is something we can learn. Eg. Kwa sasa nimejifunza Iran is among the super military powers of the world!Hahahaha naomba kukujibu mkuu!
North Korea wana tengeneza silaha za Nuclear ili kupiga taifa la Marekani.
Iran anatengeneza silaha za nuclear ili kupiga Marekani na washirika wake.
Israel alitengeneza hizo silaha ili kujilinda dhidi ya maadui zake.
Pakistan alitengeneza kujilinda dhidi ya India ambaye ni adui yake.
India alitengeneza kujilinda dhidi ya Pakistan.
Utaona tofauti hapo juu kuna nchi zilitengeneza na zinazoendelea kutengeneza, hakuna ushahidi wa wazi hata wasiri wakuthibitisha kuwa India na Pakistan wana hizi silaha za hatari kabisa ila kuna propaganda.
Iran huwa hawezi kumshambulia Israel kwa sababu hiyo.
BTW silaha za nuclear zinauwezo wa kukuathiri hata wewe uliyeko mbwinde huko usishabikie uundwaji wake wala kuwepo kwake
Kamanda Iran kufunga Hormoz ni sawa tu, we unataka oil yake isiuzwe nawengine wapitishe mbele ya macho yake.Nini maoni yako kuhusu Iran kuufunga mlangi bahari wa Hormuz??? Naona watu mnalalamika tu bila kutoa maelezo yenu!!!!
Naona lile likitabu lenu lishakudhuru kabisa!!!Kamanda Iran kufunga Hormoz ni sawa tu, we unataka oil yake isiuzwe nawengine wapitishe mbele ya macho yake.
Kuwacha wengine wauze oil na yeye asiuze, huo utakuwa ujinga na we kama unadhani Iran wajinga na hawana uwezo wa kuzuia, basi bora tukukabidhi ujinga wewe.
Naona lile likitabu lenu lishakudhuru kabisa!!!
Ummayed malengo ya Iran kutengeneza silaha za nuclear unayajua?
Malengo ya N.k kutengeneza silaha za nuclear unayaju?
Na je unafahamu athari za hizo silaha?
Najua utasema mbona U.S anazo je kila taifa likiachwa liunde silaha zake hii itakuwa dunia ya aina gani? Kumbuka Tanzania tuna madini ya uranium tunaweza kuunda pia
Dua la kuku huwa halimpati mwewe! Tafuta Biblia ya agano la kale funua nyuma kabisa ya Biblia utaiona ramani ya Israel ya zamani sana ambayo ilikuja kuvamiwa na waarabu.
Hiyo ardhi ya Palestine ni ya Israel na maeneo yao wameanza kuyarudisha taratibu.
BTW sina ushabiki hata kidogo na sijawahi kushabikia vita, wananchi wa ukanda wa gaza wana sababisha wao kupigwa mabomu, sasa hivi wana uchora ukuta uliojengwa na Israel kwa maneno yao na katuni za chuki wanajua wanachokipata wanakamatwa wanapelekwa jela za israel na wanateseka mno.
Dua la kuku huwa halimpati mwewe! Tafuta Biblia ya agano la kale funua nyuma kabisa ya Biblia utaiona ramani ya Israel ya zamani sana ambayo ilikuja kuvamiwa na waarabu.
Hiyo ardhi ya Palestine ni ya Israel na maeneo yao wameanza kuyarudisha taratibu.
BTW sina ushabiki hata kidogo na sijawahi kushabikia vita, wananchi wa ukanda wa gaza wana sababisha wao kupigwa mabomu, sasa hivi wana uchora ukuta uliojengwa na Israel kwa maneno yao na katuni za chuki wanajua wanachokipata wanakamatwa wanapelekwa jela za israel na wanateseka mno.
Una uhakika kwamba maeneo yaliyovamiwa na kutawaliwa kinguvu na raia kuteswa na kuuawa na wengine kugeuzwa watumwa hayakuwa na viongozi wa kuwaongoza?Hapana c kweli, wale walio tawala siku za nyuma, walikuwa na tawaliwa kwa kuwa walikuwa hawana viongozi wakuwaongoza, na ule ujinga ulitawala.
Kwa sasa bora tupumzike na ujinga huo, hakuna wajinga tena duniani, yani Marekani asitufanye cc wajinga.
Uko sawa kabisa nimekubaliana na insight yako.Una uhakika kwamba maeneo yaliyovamiwa na kutawaliwa kinguvu na raia kuteswa na kuuawa na wengine kugeuzwa watumwa hayakuwa na viongozi wa kuwaongoza?
Unafahamu historia kuhusu tawala zenye nguvu zilizokuwepo hapo zamani kama vile, Mongol Empire katika karne ya 13 na kuendelea kipindi cha Ghengis Khan? Je, maeneo waliyoyavamia na kuyateka hayakuwa na viongozi wa kuwaongoza?
Maeneo yaliovamiwa yalikuwa na tawala zao na majeshi yao. Zilikuwa ni Empires zilizokamilika, ambapo zilipovamiwa majeshi yao yalipigwa na raia wake waliteswa na kudhalilishwa na idadi kubwa sana kuuawa hasa yale maeneo yaliokataa kujisalimisha.
Toka kipindi hicho mpaka sasa ni vizazi vingi vimepita, na uhasama wa aina hiyo umekuwepo na utaendelea kuwepo na kuitafuna Dunia hata kama nguvu ya Marekani itapungua na kuisha. Dunia haijawahi na haitowahi kuwa salama sana.
Unakusudia hii haidhuru kabisa ukiisikiliza au kuisoma moyo wako unakuwa baridiii.Naona lile likitabu lenu lishakudhuru kabisa!!!
Mimi siipendi marekani ' ---Lakini katika upande 1 wapo sahihi ' kwa sababu wana fuata desturi ya maisha ya ulimwengu yanavyo taka kuwa 'Dunia imekuwa si mahali salama sana pa kuishi kabla hata ya kuinuka kwa Marekani. Kabla ya hapo yalikuwepo pia mataifa yenye nguvu sana na yaliyatawala mataifa mengine tena kwa lazima.
Kwa hiyo si rahisi kusema kwamba kutokuwepo kwa Marekani Dunia ingekuwa salama, hapana, hata kama Marekani isingekuwepo bado kungetokea tu taifa lingine ambalo lingei-Control Dunia. Nothing Changes!
Looooo!!!!Miaka yote hiyo imepita bado tu ugonjwa huo unao!!!pole sana maana hata naogopa kukutana na we we cause waweza kujitoa mhanga ukanikosesha raha ya dunia!!Unakusudia hii haidhuru kabisa ukiisikiliza au kuisoma moyo wako unakuwa baridiii.
Na hakuna raha kama kutega skio lako nakusikiliza vizuri, utanipa jibu.
Wacha hizo wewe hakuna wakujitoa mhanga akawa muislam, huyo atakuwa kafana tu na mafunzo yenu.Looooo!!!!Miaka yote hiyo imepita bado tu ugonjwa huo unao!!!pole sana maana hata naogopa kukutana na we we cause waweza kujitoa mhanga ukanikosesha raha ya dunia!!
Mkuu ulisema unakuja na sehem ya pili... Tukaacha kufanya arguments... Na kuuliza maswali na kuelimishanaLete wewe sasa ukweli tuusikie si kupinga tu bila sababu!!!